vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Disinformation kwenye vita kati ya Israel na Hamas

    Habari wanajukwaa!! Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea. Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake. Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa vita ya Hamas na Israel, Marekani na Umoja wa Mataifa zishtakiwe

    Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa katika nchi ya palestina. Kwa machafuko mengi ya kidunia huyu jamaa anatakiwa apigwe sanction za...
  3. JamiiForums Tanzania Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

    Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama...
  4. JamiiForums Tanzania Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

    Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi".. Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mandamano Israel hawataki vita

    Kuna mandamano I srael hawataki vita, chezea na Missile za Hamasi https://youtu.be/fpu6s1U1LJA?si=Z4GIsWUFtJC-ty1L
  6. JamiiForums Tanzania Upande wa ukingo wa Magharibi aliko Mahmoud Abbas wana vita vyengine vikali kuliko vya Gaza

    Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya Jerusalem ni vikubwa zaidi. Eneo hilo miaka michache iliyopita lilikuwa ni ardhi kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

    Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi. Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera. Kimsingi baada ya vita ile...
  8. JamiiForums Tanzania Wayahudi ni watu wa vita miaka yote

    Kwanza lazima niweke wazi, mimi ni mkristo. Suala wa hawa binadamu wenzetu Wayahudi, sasa ni pasua kichwa duniani. Kwanza kihistoria , hawa ndio walimuua Yesu Kristo msalabani, kwa mateso makali. Kwa miaka ya karibuni na hata sasa, palipo na vita humkosi myahudi Palipo na ugunduzi wa vifaa vya...
  9. JamiiForums Tanzania Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

    Jamaa hawachoki, yaani ndio kama wanaanza vile.............. Clashes involving armoured vehicles and heavy weapons continued between the Sudan Armed Forces (SAF) and Rapid Support Forces (RSF) across large parts of the Sudanese capital of Khartoum on Tuesday, especially focused on the SAF...
  10. JamiiForums Tanzania Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Mawaziri Wakuu wa zamani wa Israel wamkacha Netanyahu. Waja na hila nyingine kuendeleza vita dhidi ya wapalestina mpaka wawamalize

    Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika matatizo na vita. Katika pendekezo lake, Ehud Olmert amesema baada ya vita NATO itumike kuirudisha...
  12. JamiiForums Tanzania SOMA: Namna BIBLIA ilivyotabiri kipigo cha GAZA na Majirani zake, na namna GAZA ilivyokuwa ikisurubiwa toka enzi za manabii

    Mimi kama muhaya, nshomile kutoka Uhayani Republic, imenibidi niingie chimbo kuleta maelezo kamili juu ya hii vita ya Israel na palestina ambayo kuna watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya. Ukisoma maandiko ya agano la Kale (Old Testament) katika biblia na vitabu vya kiyahudi Torah na...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau washauri Hamas na Israel kusimamisha vita kupisha mechi ya Simba Vs Al Ahly Oktoba 20, 2023

    Tukio kubwa la ufunguzi la soka la kihistoria African football League ambalo ufunguzi wake utafanyika uwanja wa Mkapa Tanzania Oktoba 20, 2023. Tukio hilo kubwa la michuano mikubwa kuliko yote Africa ambalo litakua na ugeni mzito wa Rais wa FIFA, Rais wa CAF pamoja na marais wa vyama vingine...
  14. JamiiForums Tanzania Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

    1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na...
  15. JamiiForums Tanzania Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani. Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa. Kundi hilo...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni vita vya wanandugu? Israel v. Palestina

    Toka nikiwa mdogo katika vita ambavyo masikio yangu yamesikia kwa muda mrefu ni vita vya Israel na Palestina. Sina hakika lakini nadhani ni vita ambayo inapigana mara kwa mara. Kipindi kile hakuna mitandao ya kijamii ni radio tu na magazeti. Nilikuwa nikimsikia Samadu Hassan akiitangaza vita hii...
  17. JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyewahi kupinga vita vya Ukreini awekewa Sumu

    Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu. Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
  18. JamiiForums Tanzania Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

    Kutoka mitandaoni... TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO. Na Joshua Ntagala Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu, utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  20. JamiiForums Tanzania Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…