visiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Ukatili wa Kijinsia yaripotiwa kuongezeka Visiwani Zanzibar

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kuendelea kuongezeka visiwani hapa ambapo Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali inaonesha matukio hayo yakiongezeka kutoka matukio 1,222 mwaka 2021 hadi matukio 1,360 mwaka 2022, ongezeko ambalo ni la matukio 138. Takwimu hizi zilitolewa hapo Januari...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Elimu siyo kipimo cha tabia na ustaarabu, kwa afya ya demokrasia tuendelee kuchagua Marais wa Kanda ya Pwani na Visiwani

    Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k. Kwao ustaarabu ni sehemu ya maisha yao, wanapokuwa maraisi huwa kuna nafuu ya kuendesha nchi angalau kwa demokrasia, si...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania USHAURI: CCM iwe na Katibu wa Itikadi na Uenezi upande wa Bara na Makamu wake atoke visiwani

    Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa Mizigo na Vifurushi (Mikoa Yote Tanzania Bara Na Visiwani)

    Usambazaji wa mizigo mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani. Marathon Logistics inapenda kukufahamisha kwamba inatoa huduma za usafirishaji wa mizigo (midogo midogo na mikubwa) na vifurushi ndani ya Tanzania – Bara na Visiwani. Hii ni: Kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa yote ya Tanzania –...
  5. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka. Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongeza Rais Samia huko Unguja leo hii, Shaka...
  6. hamis77

    JamiiForums Tanzania Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani nao hujaliwa kwa 'First Class Treatment' kama waliobakia Tanzania Bara?

    Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani? Na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, sasa ni wakati wa kuunganisha Tanzania Bara na Visiwani kwa kujenga daraja

    Mh.Rais, Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT ujenge daraja kubwa linalopita juu ya bahari kutoka Bagamoyo mpaka Zanzibar ili hata wenye magari...
  10. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison ameshare Video fupi ikimwonesha alivyokuwa akistarehe visiwani Zanzibar

    Bernard Morrison (Amezaliwa 20 May 1993) Ni Mchezaji maarufu wa Ghana anaechezea timu ya Simba SC kwenye Ligi ya Vodacom Premier Bernard Morrison Personal information Club information Senior career* National team‡ Date of birth 20 May 1993 Place of birth...
  11. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA __________________________________ Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT, #KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
  12. malisoka

    JamiiForums Tanzania Muungano wa nini?

    Wakuu, Kwa ujumla mimi napenda umoja upendo na mshikamano lakini kwa hawa ndugu zetu wa Zanzibar tunawalazimisha kuungana na sisi bara kwa sababu ya visa hivi vya mauaji na kujeruhi watu kwa sababu zisizo na msingi. Sikilizeni hawa wazanzibari ni kama vile mwanamke akitaka kuachika na huyo...
Back
Top Bottom