visa

  1. upupu255

    Kuanzia Januari 01, 2026 Marekani imesitisha utoaji wa baadhi ya viza kwa raia wa Tanzania

    Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
  2. Traxtion

    Tanzania na Somalia makubaliano ya ziara bila visa

    Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu. Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia...
  3. Collin Butondo

    Visa & Immigration 2026

  4. Pulchra Animo

    Here we go again: US to suspend immigrant visa processing from 75 countries (including Tanzania) over public assistance concerns

    Trump is on offense once again! The countries affected by the suspension announced on Wednesday are: Afghanistan, Albania, Algeria, Antigua and Barbuda, Armenia, Azerbaijan, Bahamas, Bangladesh, Barbados, Belarus, Belize, Bhutan, Bosnia, Brazil, Burma, Cambodia, Cameroon, Cape Verde, Colombia...
  5. M

    Kusafiri kwenda Ghana kunahitaji Visa?

    Habari waungwana, kama kichwa cha habari kisemavyo. Je, kuna uhitaji wa mimi Mtanzania kuwa na Visa iwapo nataka kwenda Ghana? Naelewa kuwa hatuna ubalozi hapa nchini ila sijui nchi zetu zina makubaliano gani.
  6. S

    Vikwazo vya Visa za China na Marekanki kwa Watanzania

    Toka Desember 2025 viza za china zimekuwa ngumu sana kupatikana Kwa wafanyabiashara na from january US zinakuwa ngumu.....Mwakani Hali itakuwaje?
  7. B

    Uhamiaji kukagua akaunti za kijamii za watalii, wasafiri wanaoomba visa au kupitia vituo vya mpakani

    Mamlaka za Uhamiaji yaanza kutekeleza sheria ya kuoneshwa akaunti za Mitandao ya Kijamii ya ya wanaoingia nchini kama watembezi au kazi, wanafunzi n.k : Ili kutii Agizo tamko la Januari 2025 14161 (Kulinda Marekani dhidi ya Magaidi wa Kigeni na Vitisho Vingine vya Usalama wa Kitaifa na Usalama...
  8. B

    Ni kweli kwamba Diamond na team yake ya Wasafi wamenyimwa visa kuingia USA?

    Taarifa zilizopo ni kuwa msanii Diamond na team yake wamezuiliwa kuingia USA, kuna ukweli wowote? na sababu inaweza kuwa ni nini?
  9. Analogia Malenga

    Marekani yafuta VISA za waliofurahia kifo cha Charles Kirk

    Department of State imefuta VISA kadhaa za raia wa kigeni walio Marekani ambao walishangilia kifi cha Charles Kirk. ============== Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (@StateDept) Machapisho tena: 17.3K Majibu: 3,949 Walioipenda: 131K Walioweka alama: 7,977 Wizara ya Mambo ya Nje (ikijibu kwa...
  10. funaku

    Balozi za Ujerumani na Marekani zinao wajibu wa kufafanua juu ya wawili waliofutiwa visa na Tanzania

    Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS. kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
  11. JanguKamaJangu

    Gerson Msigwa: Mabadiliko ya Masharti ya VISA ya Marekani si kosa la Serikali, ni kosa la Wanaozamia

    Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa. Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
  12. Pulchra Animo

    Mali yaweka bondi ya viza ya dola 10,000 kwa wageni kutoka Marekani kama hatua ya kisasi

    Serikali ya Mali imetangaza kuwa raia wa Marekani watakaotembelea nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa shughuli za biashara au utalii watalazimika kuweka bondi ya hadi dola 10,000 (sawa na takribani pauni 7,500). Hatua hii imechukuliwa kama jibu kwa sera kama hiyo iliyowekwa na utawala wa Rais wa...
  13. NostradamusEstrademe

    Visa bond

    Hivi karibuni Trump amepitisha sheria kwa baadhi ya nchi raia wake wakiingia Marekani waingie kwa Visa bond. Imewekwa bayana ni dola5000 naomba anayejua hii maana yake nini hasa.
  14. Dennis Robert Shughuru

    Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  15. N

    Maswali muhimu Utakayoulizwa wakati wa Usaili (Interview) wa Visa ya Marekani

    Unapoomba Visa ya Marekani (US Visa Interview) katika Ubalozi au Konseli ya Marekani, mahojiano ni sehemu muhimu. Afisa wa ubalozi atauliza maswali ili kuthibitisha kuwa taarifa ulizoandika kwenye fomu ni sahihi na kujua nia yako ya kweli ya kusafiri Marekani. 🔹 Maswali ya kawaida unayoweza...
  16. Stability

    Hivi kwanini watoto wa mke mdogo, watoto wa kambo na watoto wa nje ya ndoa huwa wana visa na nongwa sana?

    Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo. Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa? Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo? BASTARD CHILD.🚮
  17. Yoda

    Passport ya Singapore ndio namba moja kwa nguvu duniani, ukiimiliki unaingia nchi zote duniani bila visa

    Kwa raia wa Singapore anachohitaji ni pesa tu ya kuzunguka duniani, huna haja ya kusumbuka na maswali au foleni za kuomba visa.
  18. Muimba SINGELI

    Simulizi za kijana Masikini (zote ni visa vya kweli vilivyowahi kunitokea)

    Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni. Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa simulizi lakini pia kutokupoteza simulizi zangu ambazo nimewahi kuziandika humu. Kumbuka humu...
  19. M

    Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
Back
Top Bottom