Habarini, mimi ni baba wa watoto wanne, nina umri wa miaka 38. Nimekuwa nikiugua hyperthyroidism (diffused multinodular goiter) kwa miaka mitatu sasa.
Kabla ya kuanza kuugua hyperthyroidism nilikuwa na tatizo la nguvu za kiume kwa takriban miaka saba.
Baada ya kugundulika na hyperthyroidism...
Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya.
Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!!
Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii tena...
Wapi Mchomvu, wapi Kipanya, wapi Masanja, Zembwela nk
Yes,nimefanya tafiti za rushwa kwa kipindi kirefu sana tangu nikiwa chuo kupitia clubs za TAKUKURU,na baadae nikijitegemea.
Kipindi hiki rushwa imekuwa ni mfupa mgumu kwa TAKUKURU.
RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe...
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari hapa Tanzania nimegundua ndo mipango mikakati wa kuwapumbaza Watanzania na kuwa Fanya masikio na akili zao yasikie mambo madogo ya kipuuzi
Media za Tanzania
Haiwezekani media zinatumia saa nzaidi ya 8 kuchambua Simba na Yanga kila siku, hivi mpira wenyewe...
Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja.
Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu?
Nimekaa hapa lisaa zima...
Kuna somo linaendelea sasa hivi kuhusiana na ugonjwa wa kisukari.
Nasikitika kwamba mtaalamu mliyemuweka kufundisha somo hilo,anatumia rejea ya elimu za kizamani sana ambazo zimepitwa na wakati.
Kusema mtu mwenye kisukari aepuke kula nyama na mayai kwamba umeng'enyaji wa protini hizo ni mgumu...
https://youtu.be/gjrrbUm9Xgg?si=wlBvnC5Dg4FuVziw
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amesema deni la Tanzania ni stahimilivu kwa Vipindi vyote,
1)-Ipo haja ya kurekebisha katiba yetu Kwa baadhi ya kanuni, kwa mfano muda wa urais ni miaka 10, bila kuzidisha hata siku 5,basi kwa kuwa ni miaka 10, Ingelikuwa busara, Rais aweye madarakani, baada ya kupitishwa na mikutano ya halmashauri kuu na Kamati kuu, basi bunge la jamhuri ya muungano wa...
Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto.
Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha tunachagua cartoons, filamu, na miziki ambayo sio tu inaburudisha bali pia inalinda maadili mema na...
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu
Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank...
Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA.
Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
Wanabodi,
Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024
Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY
2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio.
Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na huyo jamaa kuwa ni bonge la redio hapa nchini Kwa sasa.
Mwili ulinisisimka Kwa jinsi jamaa...
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024.
CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania.
1. TBC 1 Aridhio
2. TBC 1 Aridhio
3. TBC 1 Aridhio
4. KAIFA ya TBC Taifa
5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa
6. Dira ya mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.