GT
Hakuna asiyejua contents creator wengi wa Tanzania ni propaganda machines za CCM . Hivi wanaombewa 2B kwa lipi kwanza.
Hivi hili taifa halina vipaumbele hadi tunaenda kwenye biashara za watu binafsi watz wanteseka sana kwa kukosa huduma muhimu sana kama maji na huduma za afya.
Kwa nini...
Wakuu.
Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika.
Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri.
Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa...
Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani?
Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi ametaja vipaumbele vitano alivyoviahidi kwa wananchi wa jimbo hilo ambavyo ni Ujenzi wa baraba, Maji...
ENG. GODWIN KAMALA AJA NA VIPAUMBELE VITATU KWA WANANCHI WA JIMBO LA KAWE, DAR ES SALAAM
Mhandisi Godwin John Kamala ambaye aliteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Mgombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam ameendelea kunadi sera zake kwa Wajumbe wa Kata
Aidha...
Huo ndo ukweli mchungu ,
Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika
Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO
Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika
Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira.
Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa.
Wanavalia jezi, wanajichora...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Kijana tumeuanza mwaka mpya 2025, hivi ndivwe vipaumbele vyako:-
1. Uwe mwaka wa kuoa na kuazisha familia.
2. Usiwe mwaka wa kujenga na kununua visivyohamishika mfano (Kiwanja, nyumba, mashamba
Bali 3. Uwe mwaka wa kununua vyenye kukufanya mwenye...
Baada ya kushinda uongozi ulioshikiliwa kwa karibu miongo sita na chama kimoja, hivi ni vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, kama alivyoahidi wakati wa kampeni na hata baada ya kushinda kiti hicho. Wananchi wa Botswana wanataraji kuona ahadi hizi zikitekelezwa kwa imani kuwa...
Habari zenu wakuu! Leo nataka tujadili suala muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Wengi wetu tunajua kuwa kutafuta pesa ni moja ya majukumu makubwa ambayo mwanaume anabeba, lakini je, ni kweli kwamba maisha ya mwanaume yanapaswa kuzunguka pesa tu? Kando na juhudi za kutafuta riziki, kuna mambo...
Tumekua tukikosoa Sana personality za viongozi Kila awamu,tukikemea ubadhirifu,rushwa na wizi wa Rasilimali zetu bila kujua tatizo kuu ni taasisi ya Dola ambayo inalinda utaifa,mipaka na vipaumbele vya taifa hili.
Kila kiongozi anaeingia anakua na vipaumbele binafsi badala ya vya taifa letu na...
Bado nayakumbuka maneno aliyokuwa akiyatamka mara Kwa mara, Rais wa awamu ya 5, Mwendazake John Magufuli kuwa nchi hii ni tajiri sana, ambayo inaweza hata kuwa ni mfadhili wa nchi nyingine, badala ya kuwa Kila siku kuwa omba omba wa misaada.
Nitatoa mifano michache kuthibitisha kuwa nchi yetu...
WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE TISA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele tisa vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25.
Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/25, Bashungwa amesema...
Kwema wakuu. Kama mada inavyojieleza, umekuwa na tabia ya watu katika jamii zetu kufanya maamuzi flani bila kujua ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi au kipi kianze au kipi kifate.
Mfano unakuta mwanaume anaoa wakati hajejipanga vizuri (kiuchumu) kimaisha matokeo yake kipato kinachopatikana ni...
iKuimarisha huduma za kinga dhidi ya magonjwa;
Kuimarisha upatikanaji na ubora wa huduma za afya zinazotolewa na vituo vya kutolea huduma za afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi Taifa;
Kuimarisha mifumo ya ugharamiaji wa huduma za afya nchini;
Kuimarisha huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto ili...
Kuwa raisi sio jambo dogo/jepesi hata kidogo. Kongole kwa La mama anaeendelea kugongelea misumari kuhakikisha gurudumu halichomoki na tunakwenda mbele bila wasi.
Twende sasa....
Cha kwanza nikiwa Raisi nitakuwa mbabe.
Tupa kule ilani ya chama Changu, nitatengeneza ilani itakayohakikisha...
Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje?
Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo?
"Kwa hakika mtu mzima aliyekufa na watoto wale akipambana kuwakoa alifanya yote yaliyokuwa sahihi."
Hawa watu ilikuwa muhimu...
Nimefanya utafiti binafsi nimegundua hakuna tatizo la ajira nchini Bali tatizo la kifikra na kimaslahi la viongozi tuliowapa dhamana.
1. SEKTA YA KILIMO MIFUGO
Hii ndio UTI wa mgongo wa taifa letu, katika watu milioni 60 waliopo nchini karibu million 30 ni wakulima waliopo mijini na vijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.