vipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NGAYANIMO

    Album ya washkaji wenye vipaji

    Washkaji Wenye Vipaji (2002, Cassette) ✍🏾washkaji Wenye Vipaji ni jina la kutaja albamu ya muziki wa kizazi kipya yenye nyimbo mchanganyiko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Tanzania. Wasanii hao ni pamoja na Da Jo, Bad Spack, Neck Breakerz, Manyema Family, Gangwe Mobb , XPlasterz , Nigger II...
  2. B

    Sera ya ukuzaji vipaji vya mpira Tanzania

    PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA **KAMPENI YA KITAIFA: “TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”** Wizara Husika: Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
  3. K

    Watu wa Singida wamewafunika wale wa Dodoma kwa mbali

    Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima, Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
  4. Think2

    Hawa ni baadhi tu ya wachezaji ambao walirithi vipaji kutoka kwa wazazi wao

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana. Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball). Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
  5. D Metakelfin

    Nafasi za Ajira,wenye vipaji vya uandishi wa habari

    Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga. Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6. Habari za Burudani & Udaku – nafasi 4 Masuala ya Kijamii – nafasi 2 Miongoni mwa sifa...
  6. Lord Denning

    Israel vipaji maalum wanafanywa Watunga Sera na kuajiriwa Taasisi za Ujasusi. Sie kipaji maalum kiko Jela halafu tunalalamika

    Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200. Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza kutikisa dunia baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano vya Kundi la Kigaidi za Hezbollah. Kikosi...
  7. MamaSamia2025

    Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

    Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
  8. Wakwetu03

    Mbeya City Fc Yavuna Vipaji 68

    Mbeya City Fc
  9. A

    Shule za vipaji maalumu nchini

    Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo...
  10. M

    Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  11. K

    Siasa zimepoteza wenye vipaji maalumu

    Hawa ni wale watu ambao wangekuwa sehemu nyingine wangekuwa mbali zaidi na kusaidia nchi kwa ujumla wake. Tanzania wamekuwa machawa, wala rushwa , wana dharaulika na wengine kutaka kuuliwa
  12. matunduizi

    Kumpeleka mtoto Boarding shule ya msingi ni Kuua vipaji vyake....

    Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana. Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake, anahoji maswali ya maana lakini huyu niliyemkuta sasa ni mwingine kabisa. Muoga sana. Ujasiri wote...
  13. K

    Kukosekana kwa vipaji CCM ni tatizo

    Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi. Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya...
  14. MamaSamia2025

    Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

    Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo; 1. Dr Remmy Ongala 2. Marijani Rajabu 3. John Komba 4. Baraka Mwinshehe 5. Banzastone 6. Saida Karoli 7. Papii Kocha 8. Profesa Jay 9. Shilole (Shishi baby) 10. Rose Mhando 11. Lady JayDee 12. Nikki wa II 13. Joseph Mbilinyi...
  15. GENTAMYCINE

    Waandaaji wa Samia Cup acheni Ushamba sasa kuleta Wachezaji wa Premier League kucheza ndiko Kuendeleza vipaji vya Vijana?

    Hamna Akili nyie Mashindano haya ni ya Kukuza vipaji vya Vijana nyie mnaleta akina Kibabage, Baleke na Mzize wa nini?
  16. Fbn

    IPP media imeweza kuibua vipaji vingi vya wahandishi wa habari ambao wengine ni furahaa tukiwaona

    Mimi tokea kuanza kwa ITV na redio zake kupitia IPP ndio naona kuna vipaji vingi vya ma Dj na wahandishi wa habari hata yule mirad makepu katokea huko. Napenda sana kusikiliza taifa ya habari ya ITV napo sikia mkoa fulani kuna manguri ambao nahisi habari zimekamilika. Upande wa redio one nako...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Bongo Star Search (BSS) anzisheni program ya kupeleka vipaji American Got Talent (AGT)

    Kwa: Meneja wa Bongo Star Search (BSS) Dar es Salaam, Tanzania Yah: Kuanzisha Programu ya Kuwapeleka Washindi wa BSS Kushiriki Mashindano ya America’s Got Talent (AGT) Natumai barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na unaendelea vyema na juhudi za kukuza vipaji vya muziki na sanaa kupitia...
  18. K

    Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  19. Waufukweni

    Waziri Tabia Mwita: Walioshiriki Samia Fashion Festival 2024 wawezeshwe kulinda vipaji vyao

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewaagiza Viongozi wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kuhakikisha Wanawawezesha Vijana walioshiriki katika Tamasha la Samia Fashion Fastival 2024 ili kulinda na kuendeleza vipaji vyao. Ameyaswma hayo katika...
  20. Glenn

    Vipaji ( live bands and karaoke) hivi hawa vijana wanakwama wapi kutoka kimuziki?

    Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao. Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga za kila namna. Katika kundi hili utakuta kijana anaimba vizuri hadi kumzidi mtunzi wa wimbo husika...
Back
Top Bottom