viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Samia umetupa mwanya wa kuona wanaoweza kuona kesho na Viongozi wafupi

    Yawezekana Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uongozi wake ukawa ndio uongozi ambao umetoa mwanya kwa kila kiongozi wa ngazi yoyote ile kuonyesha uwezo wake, kipawa chake, ubunifu wake, umahiri wake na hata busara za kuamua mambo kwa ajili ya maendeleo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Ushauri wa Kishujaa umesababisha Tanzania ishtakiwe katika Mahakama za Kimataifa. Wasomi wetu waliwadanganya Viongozi

    Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara. Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

    Msiojua kingereza mnisamehe Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports...
  4. JamiiForums Tanzania Jumatatu tunaanza Maombi kwa wale Viongozi wote majizi/mafisadi

    Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu. Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Klabu ya Simba mna maswali ya kujibu, michango ya Ujenzi wa Uwanja imeshia wapi?

    Desemba 17, 2021, Klabu ya Simba ilizindua kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja wao uliopo Bunju, Dar es Salaam. Malengo ni kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza watazamaji zaidi ya 30,000. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba kwa wakati huo, Barbara Gonzalez, ndiye aliyekuwa akizungumza zaidi siku...
  6. JamiiForums Tanzania Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto alalamika namna viongozi kutoka mataifa ya Afrika wanavyotendewa wakiwa Ulaya na USA

    Hawa watu tukiwa nao huku Africa wanajidai kuishi kama miungu watu. Kumbe huko ulaya na usa hawana muda nao --- President William Ruto has complained over hospitality to African leaders in global summits Ruto said African leaders are in some instances mistreated when they travel abroad to...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

    Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu. Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu uwafikie viongozi wote wa Afrika

    Wandugu kumbe Africa bado tuna viongozi wenye akili.
  11. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wa dini ndio Hawa je Dunia tuiache mikononi mwa wanasiasa?

    Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu wa chakura duniani ..matukio ya makanisa kugeuzwa vituo vya mauaji na upotofu mkubwa wa Imani kiasi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Dini Tanzania hawajakemea mauaji yaliyosababishwa na Mchungaji Kenya? Wanaogopa nini kukemea Imani potofu?

    Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri. Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wetu Tuhurumieni

    Habari ndugu zangu. Nawasalimu kwa upendo wa dhati toka ndani ya moyo wangu. Nawapenda sana. Aidha baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu. Ni ukweli mchungu kwamba viongozi wetu hawana huruma na sisi. Hili linajidhihirisha katika mambo mengi. Yafuatayo ni baadhi ya...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya viongozi wa Simba wanamsumbua Msuva wiki hii yote

    Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva alicheza wydad kwa kipindi kirefu na anawajua nje ndani, pia anajua mbinu zao chafu na safi ndani na nje...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

    Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje. Huwa nawaza sana hii nchi haiwezi endelea kwa aina hii ya watu ambao ni very.....Sijui. Ila inasikitisha sana.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete. Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa madhehebu wana ushawishi mkubwa?

    Katika masomo yake ya tabia za kitamaduni, Dk Stein amegundua kwamba viongozi ni watu wenye mvuto ambao mara nyingi hutokana na uzoefu kama huo ambapo walijifunza jinsi ya kutumia mbinu za ushawishi kukusanya wafuasi. "Wanajifunza hila na kuendelea wakati wanapofikiri wanaweza kufanya mambo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo

    Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo ili kuwaongezea uwezo, kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Akifungua Mafunzo hayo ya siku tano...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Viongozi wa Mwanza

    Habari wanajamii bila shaka mko vizuri, japo kuna changamoto za hapa na pale kama report ya CAG na mengineyo. Ila leo nakuja kwa kuwashauri na kuwahimiza kufanya mabadiliko na siyo kuwa na mazoea. Nikianza na viongozi wa idara ya Maji Mwanza (MWAUWASA), jamani mjifunzeni kwa wenzenu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi tuwe makini Gross Domestic Product (GDP) haiwezi kukua kwa betting games

    Dear Viongozi, Ukuaji wa GDP (Gross Domestic Product) haupaswi kutegemea michezo ya kamari au betting. GDP ni kipimo cha thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi ndani ya kipindi fulani cha wakati, na inaweza kuongezeka kupitia ukuaji wa shughuli za kiuchumi kama vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…