viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

    Naona imekuwa trend siku hizi kwa Nabii, Mtume, Mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho kuitwaa Daddy! Dadii una mgeni... Dadii tukuletee chai... Dadii Mzee Fulani amekuja tayari... Masanja anaitwa daddy Myamba anaitwa daddy Mwamposa anaitwa daddy Malisa anaitwa daddy Yule wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweke mwongozo wa viongozi/ wanachama namna ya kujihami na kuitwa polisi na kupotea as if hawajaitwa na polisi

    Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi. Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti ameitwana polisi / walifika Nyumbani kwake na sasa hajulikani alipo Wekeni protocol mtu afanyeje...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

    Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma Pia kwenye dirisha la Vacancy transfer request nimetafuta Halmashauri au Taasisi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Je, unakumbuka nini ulivyokuwa unasoma hasa kwenye presentation, Imepekelea baadhi ya hotuba za viongozi kuwa na sintofahamu

    Natumaini muwazima wote. Kwa wale ambao wanachangamoto za kiafya, kiuchumi na nk. Mungu afanye njia kila Mtu awe kwenye hali anaipenda. Twende kwenye mada yeti. Leo nimekumbuka baadhi ya adha nilizopitia hasa kwenye presentation hii ni kutokana kufuatilia taarifa au hotuba za kiranja mkuu wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaabudu sana viongozi, inatumaliza

    Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha. Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale..... Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA Watu wakaanza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ziara za Viongozi waige wa Botswana

    Ziara ziwe na watu wachache kadiri inavyo wezekana
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wa serikali ya wanafunzi UDOSO 2026/27 waapishwa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo, tarehe 1 Juni 2026, kimewaapisha viongozi wapya waliochaguliwa kuiongoza Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO) kwa mwaka wa uongozi 2026/27. Hafla hiyo fupi ya kuapishwa imefanyika katika Ukumbi wa Seneti Jengo la Benjamin Mkapa ( Utawala Mkuu)...
  8. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

    Imeuzwa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Unahonga bil 10 ku support viongozi wabovu. Ili uendeshe ma Rolls Royce. Utayapitisha barabara zipi?

    Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali. Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja. Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu. Umewapa hela za kampeni ili na wao walinde biashara zako corrupt. Dili zako have to be corrupt kwa saab kwa nn...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu zaidi kuhusu kufungiwa akaunti za nje za viongozi

    Kwamba kabla hawajafungiwa akaunti zao za nje je,hawawezi kuzichepusha ili zisifungiwe hususani kipindi hiki wakati mchakato wa utekelezaji wake unasubiriwa?
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Wamachinga wanafunga barabara kwa kupanga vitu barabarani na nje ya maduka makubwa hivo kupelekea usumbufu kwa wapitaji

    Jiji la Mwanza licha ya kupewa upendeleo wakati wa JPM hadi kujengewa stand kubwa mbili za kimkakati ya Nyegezi (Nyamagana) na Nyamhongolo (Ilemela) lakini bado viongozi waliopewa kuongoza Jiji hilo wapo karne ya 18. Bado ma bus yanaingia Mjini kabisa eneo linaitwa NATA na kupakilia abiria pale...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya Serengeti Boys kufuzu Fainali AFCON U17, tubaki hukuhuku tusiende kuwavuruga vijana

    Pia soma... ~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati ~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026 Video: Mchambuzi Smart
  14. JamiiForums Tanzania Kikwete alivyokutana na Viongozi wa Upinzani Ikulu – Dar, Oktoba 15, 2013

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Siku Hizi Wanaingia kwa Merit au Kufahamiana?

    Katika jamii nyingi za leo, swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni kama viongozi wanaochaguliwa au kuteuliwa kwenye nafasi mbalimbali wanaingia kwa sababu ya uwezo wao halisi au kwa sababu ya kufahamiana na watu wenye nguvu. Hoja hii imeibua mijadala mikubwa hasa pale wananchi...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  17. JamiiForums Tanzania Confirmed !Hatimaye wamepewa Orodha ya Viongozi wa kisiasa, Mahakama, Vyombo vya Usalama ambao wanapenda kuwekewa Vikwazo !!

    Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho Kwa sasa...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA ianze kuanda viongozi watakaounda serikali maana njia ni nyeupe kuchukua dola kwa njia ya box la kura

    CHADEMA ianze kuandaa mkakati wa kuandaa viongozi ambao watakuja kuwatikia wananchi wa Tanganyika na kulinda rasilimali za Watanganyika. Vita vya namna yoyote ile huwa vinapiganwa in the field not on desk. Kwenye field sasa hivi Chadema ni chama cha ukombozi na wananchi wanataka kikae...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026 Jijini humo. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Mkude amesema Viongozi hao walikamatwa ili watoe msaada kwanini wamefikia hatua ya kuwaambia wenzao...
  20. JamiiForums Tanzania The Elite Betrayal: Jinsi Viongozi Wanavyocheza Kamari na Maisha ya Mtanzania

    Kiintelojia, nchi inapitia mdororo mkubwa wa kiuchumi, lakini hawa viongozi wamebaki kuleta mzaha na sarakasi za kisiasa. These f*cking niggas are out here clowning while the trenches are burning. Hata kama mliingia madarakani kwa mchongo wa kujiteua wenyewe, basic decency ingewasukuma kudeal...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…