viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    KERO Viongozi wa Serikali za Mtaa Skanska Mashimoni, mnatarajia tuwachague tena mwaka huu kwa mazingira haya?

    Kituo cha Skanska maeneo ya Barabara ya Bagamoyo kuanzia mtaa wa Mashimoni hadi kuelekea Mtongani, hali ya mazingira ni mbaya mno, na afya za wananchi ziko hatarini. Mifumo ya maji ni mibovu, japokuwa hiki ni kipindi cha jua kali bado madimbwi ya maji machafu yamejaa kila kona. Najiuliza kwa...
  2. PreGE2025 CHADEMA yadai Viongozi wake Wilayani Temeke wameshikiliwa, Polisi wakana

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani Temeke kinyume cha sheria, Jeshi hilo limesema halina taarifa kuhusu madai hayo. Kwa mujibu wa Chadema...
  3. Hivi viongozi wetu wanatenge muda kufuatilia maazimio yao walio fanya jana kabla hawajafanya maamuzi leo?

    Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi. Kinachoendela sasa Amri ya serikali kufuta baadhi ya vijiji kata kinatoa tafakari mpya juu ya viongozi wetu dhidi ya maazimio yao ya...
  4. PreGE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  5. PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  6. M

    Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  7. Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  8. L

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu wachezaji wetu vinginevyo tumekwisha

    Hawa wachezaji ndugu viongozi wa Simba wametoka kwenye vilabu vyao wakiwa na mafanikio makubwa sana, mimi hainingii akilini leo striker Steven Mukwala aonekane hana meno wakati alikuwa mfungaji bora, alikuwa akishika mpira mabeki wa timu pinzani wanamhara, sio mshambuliaji mjinga mjinga huyu...
  9. Simba hizo rank za CAF hazina uhalisia wa timu kwa sasa, viongozi wanazitumia kuwapumbaza

    Hii team Hakika Rage alikuwa nabii kuwaita mbumbumbu Matatizo ya team Yao hawayaoni, hawahoji chochote eanajidanganya eti ni team namba 6 Africa 😆 Simba wanadanganywa na nafasi waliopanda kwa Africa nafasi waliyoipata kipindi kina Miquison wapo katika ubora wao. Tofauti kati ya Simba na pamba...
  10. Rais Samia: Kwenye kazi kuna taaluma na kujiongeza, jiongezeni inabobidi ili kuwatumikia Wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024. Uapisho huu unahusisha Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mawanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali. Jaji wa Mahakama ya...
  11. M

    Mafao kwa viongozi baada ya kustaafu

    Moja kwa moja kwenye mada: Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani nyingine. Swali langu mtu ametumikia nafasi tatu au nne au tano tofauti na zote zina maslahi tofauti ya...
  12. R

    Kwanini wanapoteuliwa na kutumbuliwa ni wale wale? Hakuna watanzania wengine wenye sifa na maono?

    Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale. Je, kuendelea kuteua watu wale wale kuna tija kwa Taifa au ni tija kwa familia ya wanaoteuliwa? Je Taifa halina watu...
  13. B

    Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  14. Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo

    Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
  15. Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  16. Kwanini wananchi wakihojiwa kwenye vyombo vya habari, kero zao wanaziwasilisha kwa rais na sio kwa viongozi wa mkoa au wilaya?

    Kumekuwa na tabia inayoendelea kushika kasi kwenye nchi yetu ya wananchi kutaka au kuwasilisha kero zao na matatizo yao moja kwa moja kwa rais, wakati huo viongozi wa mikoa na wilaya wapo na wameaminiwa na rais kumuwakilisha. Swala hili limeshika kasi sana katika nchi yetu ya Tanzania. Swali...
  17. Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

    Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa Polisi David Misime. Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala...
  18. TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

    https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi katika kukamata viongozi wa kisiasa, mawakili, waandishi wa habari, na wanaharakati...
  19. PreGE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
  20. Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…