viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi wa Yanga ni furahisha genge, mpira ni Sayansi na siyo taralila nyingi

    Huo ndiwo ukweli. Ukiwasikiliza hasa Idara ya Ali Kamwe, kutwa kujigamba na wazi unaona ni watu wanao penda sifa za kijinga na zisizo dhahili. Mpira wa miguu siyo rede ama kwaya, bali ni Sayansi iliyo bayana. Huwezi ukafanikiwa kufaulu mtihani wa Sayansi ya football kwa mbwembwe na mapambio ya...
  2. F

    CHADEMA katika Uchaguzi wao huu wa ndani hasa ktk ngazi ya Taifa kimedhihirisha hakifundi Viongozi!

    Katika kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA kwa watu wenye akili zinasikika zaidi kelele kuliko hoja makini na zenye kufikirisha. Viongozi wa CHADEMA wamedhihirisha kuwa wengi ni watu wanaookotana tu kutokana na kuwa " victims of circumstances" na hawana maono, maadili na sifa za kupewa dhamana za...
  3. Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

    Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa. Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo. Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
  4. M

    Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

    Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali. Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
  5. PreGE2025 Ni ujinga na upuuzi kwa viongozi CHADEMA kutengeneza mkakati wa kuwarejesha Dkt. Slaa, Msigwa au wabunge 19

    Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19). Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
  6. LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

    “Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzulu msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda...
  7. DRC nchi iliyobarikiwa utajiri wa asili ikapewa laana ya viongozi

    Katika nchi ambayo inachekesha na kuumiza ni DRC Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC) ina rasilimali nyingi za asili, ambazo ni muhimu kwa uchumi wa nchi na pia kwa dunia. Baadhi ya rasilimali muhimu ni: 1. Madini: Cobalt: RDC ni mtayarishaji mkuu wa cobalt duniani, ambao ni muhimu kwa...
  8. W

    Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  9. Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

    Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
  10. Ni viongozi wangapi kutoka bara la Afrika, watakwenda Marekani kushuhudia uapisho?

    Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
  11. DC Godwin Gondwe awapigia magoti Wananchi Munkhola akisisitiza waondoke hifadhi ya Msitu

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe, amewapigia magoti Wananchi wa Vijiji vya Msikiii na Munkhola katika Wilaya hiyo ikiwa ni msisitizo wa kuwaomba waondoke katika eneo walilovamia la hifadhi ya Msitu wa Munkhola ambalo limeanza kupata mmomonyoko wa ardhi unaoweza kusababisha madhara kama...
  12. M

    Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  13. T

    Ni kwa nn viongozi wastaafu wote wa chadema taifa wanaishia kukimbia

    Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
  14. Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

    Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati yao walinzi na kutoa warning kwamba pita kushoto, hasa Kwa Wana Habari wanaorekodi. Mfano hapa...
  15. Salam kwa viongozi wakuu wa Afrika!

    Huu ujumbe unamuhusu ye yote mwenye access ya kuingia kwenye mikusanyiko inayowakutanisha watawala wakuu wa Afrika! Siku watakapokutana, naomba uwazamomee na kuwaambia wanalitia sana aibu bara la Afrika kwa kuendelea kulialia kuwa nchi za Magharibi zinaharibu amani barani Afrika. Waambie kuwa...
  16. Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  17. Genge la Mafisadi na Viongozi Wastaafu waliotumika kuchafua Utawala wa Magufuli

    Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu. Mara baada ya Magufuli kuingia madarakani haraka sana...
  18. Kitabu cha Kabendera kina mkono wa viongozi ndani ya mfumo! Maiti inapigwa mateke bila kutetewa na waliopo hai

    Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho kinachosambaa kwa kasi chenye maneno ya kuudhi ya kuchafua viongozi. Nachojiuliza utekaji katika serikali...
  19. Foleni Jiji la Dar: Ni pale tutakapopata viongozi wenye akili ndipo tatizo litaondoka

    Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa. Haiingii akilini kwa upana wa kujenga barabara uliopo kati ya Gongo la Mboto...
  20. Viongozi hawajui Biashara, ndio mana Wabunge wakistaafu Wanapata 'Stroke'

    Wabunge WENGI WAKISTAAFU WANAPATA ‘STROKE’ - DKT. MSUKUMA Ijumaa Ya Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANA na LEO, Dr Joseph Kasheku Musukuma MBUNGE wa GEITA amesema hata suala ka kufeli kwa mradi wa Mwendokasi ni kutokana na kuwaamini Wasomi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…