viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mdau: Wimbi la Wagombea wapya limechochewa na viongozi wanaomaliza muda wao kushindwa kutimiza wajibu

    Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi wanaomaliza muda wao kushindwa kuzitendea haki nafasi zao wakati wa utumishi wao. Ameeleza kuwa hali...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

    Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la...
  3. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Kwa sasa Viongozi hawawasikilizi tena Wananchi wanapolalamika na kuwapuuza

    Padri Kitima Kwa sasa Viongozi wapo juu ya wananchi, Hawawasikilizi tena Wananchi wanalalamika lakini wanawapuuza kama sisi wanavyotuuza, sasa hicho kiti kizuri kwa sababu unapowanyanganya watu madaraka ya kutawala nchi yao unajenga obwe la uwajibikaji na hapo hapo tujahakikisha unadumu madarakani.
  4. JamiiForums Tanzania Mentality ya viongozi wa Azam ni ya kitoto

    Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam fc kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa.programu nzima ya uzinduzi imefanywa kiholela,hapakuwa na programu iliyoandaliwa vizuri,hapakakuwa na mc mzoefu na wala hapakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mbona hamtupi majibu ya hoja zenu

    Mlisema amchezi bila kulipwa fedha zenu za ubingwa wa ligi zilizopita(CRDB CUP), Nauliza tu, au ndio zishalipwa kimya kimya.....?
  6. JamiiForums Tanzania Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche athibitisha kuwa zaidi ya viongozi 360 kwa ngazi zote wameondoka CHADEMA

  8. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kugombea ubunge , udiwani na urais viboreshwe, la sivyo tutatengeneza Taifa lenye viongozi vilaza

    Kwa vigezo vilivyopo na katiba mbovu tuliyonayo , ni wazi kabisa tunakoelekea tutatengeneza wabunge na mawaziri vilaza kuliko kawaida. Nashauri hili suala liangaliwe kwa jisho la tatu na kwa wivu mkubwa kwa maslahi mapana ya taifa letu, ni wazi kabisa kuwa walioitengeneza katiba hii...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Hii hazi ilitakiwa ifanywe na viongozi wa EAC .nakubariana na Felix chitsekedi ,unafiki wa viongozi ni gonjwa baya

    https://youtu.be/18sRirxJAqo?si=LBEdYlUa0rtZF0dh Tulishindwa kumkemea Kagame aliyevamia DRC kwenda kuiba madini ya Kongo!! Mwafrica haendelei kwa sababu ya unafiki wa viongozi wa africa
  11. JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania: Viongozi waanza kuchukua fomu za ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  14. JamiiForums Tanzania Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu

    Habari! Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani. Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view. Hii ya pili naandika UNABII. Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025' Soma...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu- Viongozi waliokuwa madarani minaona acha waendelee sababu wananchi hai wanataka nini japokuwa sikubaliani na mambo mengi wanayoyafanya

    MIMI NIMETANGAZA NIA YA KUWA RAIS WA TANZANIA NI UKWELI WATU WANAHAKI YA KUNIPINGA ILA NASHANGAA SANA WATU HAO HAO UNAWAKUTA WANALALAMIKA KWENYE NYUZI NYINGINE Kuna watu kibao hawamsupport Rais Samia na ccm cha ajabu wanakuambia makonda anafaa, wengine dotto biteko, wengine makamba, wengine...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

    Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu. Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
  17. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na uraia wa Viongozi wanaotuongoza kwenye vyama vya siasa na serikalini kwa ujumla!!

    Nina mashaka na uraia wa Viongozi wengi wanaotuongoza kwa Sasa . Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyosifika kwa amani haki na utulivu katika miongo 5 iliyopita toka mwaka 1961 hatukupata Uhuru kwa kumwaga damu lakini Sasa damu imekuwa kawaida kumwagika!! What if tuna Viongozi wenye itikadi Kali...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eneo la Wazi lililopo Shehia ya Mombasa, Magharib B linajengwa kimyakimya, Viongozi mpo kimya

    Mimi ni Mkazi wa eneo la Mchina Mwanzo katika Shehia ya Mombasa, Wilaya ya Magharib B, hapa karibu na kwetu kuna eneo la wazi ambalo limekuwa hivyo wazi kwa Miaka mingi, lakini hivi karibuni kuna ujenzi ambao unaonekana unataka kuanza na kwa tafsiri ya harakahara ni kama ‘ujenzi wa kimyakimya’...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Kasi ya maendeleo, viongozi wazuiwe kula ugali,watumie ngano isokobolewa kwa chakula

    Salaam! Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako. Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa. 1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri. 2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Viongozi Wetu Wana Tatizo la Malignant Narcissism? Tafakari ya Kisaikolojia kwa Wanaokandamiza Wakosoaji

    Mpaka sasa, mwenendo wa baadhi ya viongozi wetu unaashiria kuwepo kwa tatizo la kina la kisaikolojia ambalo linahitaji kuchambuliwa si kwa mihemko, bali kwa misingi ya kitaalamu ya clinical psychology na political behavior analysis. Kitendo cha kuwatishia, kuwakamata au hata kuwapoteza raia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…