viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  2. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  3. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Viongozi wanapoamuru jeshi kuua raia ni tangazo la vita? Nini hatima yake?

    Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025, lilikuwa ni tangazo la maandalizi ya vita dhidi ya raia. Kitendo cha kutoa...
  4. JamiiForums Tanzania Amani inaongelewa sana na viongozi wa serikali lakini utekaji unaendelea nashindwa kuelewa amani ipi wanahubiri

    Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana? Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa? watu wakikumbuka ya tarehe...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi vya Serikali kukimbilia kwenye Mimbali za KKKT kuna nini?

    Nimeshuhudia Viongozi vya Katoliki wakikimbilia kwenye mimbali za KKKT krismas hii huko Roma kumekuwa kugumu awamu hii. Muwe na krismas njema
  6. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Boni Yai na Mtozi Nyanda Yamedhihirisha CHADEMA ina Akiba ya Viongozi wenye Akili Kuliko Chama Chochote

    NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi. Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

    Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24. Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wakitolewa madarakani hulalamika wanaonewa

    Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi, kejeli, ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika muda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo. Tumeona kwa Marehemu Mugabe, Ali Bongo, Saddam na n.k
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

    Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani. 1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD. 2. Dr Salmin Amour, 3. Fredrik Sumaye, 4. January Makamba, 5. Jumaa Awesso, MP 6. Nehemiah Mchechu, 7. Dr Faustine Ndugulile, 8. Daniel Silo, MP 9. Lawrence Mafuru, 10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD. 11...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna katabia ka mabalozi kuvizia viongozi wakubwa kupiga nao picha kisha kuaminisha wamefanya mazungumzo

    Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi. kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  13. JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

    Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hufurahia vifo vya viongozi wao au watawala wao?

    Msiba wa binadamu ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha hata kama aliefariki humjui. Kwanini? Kwasababu binadamu tofauti na viumbe wengine tumepewa upeo wa kuona uzito wa kuondokewa na binadamu mwenzetu, imefikia hatua hata baadhi ya watu wakiona msiba unapita karibu yao basi husimama hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Chunguzeni Mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
  16. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwani viongozi ukiwasomea albadiri haiwapati au ukiwaroga hawarogeki?

    Inasemekana ,baadhi ya watu ukiwafanyia ubaya wala hawahangaiki na wewe kupelekana polisi bali watatumia ujuzi walionao kama ni albadiri au kukuroga . Kuna watu wanasifika kuwa na karama ya kisomo pia kuna watu au mikoa inasifika kuwa na waganga au wachawi mashuhuri , ukizingua kidogo tu...
  18. JamiiForums Tanzania Maandamano Yajayo yasipangiwe Tarehe, yafuate kwenye mikutano yote Public yenye viongozi wakuu

    Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka. Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura. Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya...
  19. JamiiForums Tanzania Geita: Polisi yawaonya Viongozi wa makundi ya WhatsApp 😄

    Kila kukicha mwisho mtavua nguo sasa. Viongozi wa makundi ya whatsapp mnatakiwa mje kutoa taamko.
  20. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za Viongozi, Taasisi za Serikali zinazozuia watu kutumia Uhuru wao wa demokrasia nao wapelekwe ICC

    Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…