Timu haifanyi vizuri, ushindi mwembamba, sare nyingi na sasa imefungwa, tena kiuhalisia ilipaswa iwe imefungwa na kagera sugar pia.
Tatizo la Yanga ni kocha, wachezaji, wafadhili au viongozi wa Yanga?
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.
Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?
Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8...
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi.
Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
Paulo Makonda alipokuwa RC wa Dar es salaam aliwahi kuwapiga marufuku wale wasio na kazi kutoka Mikoa mingine kufika kwenye jiji hilo (sasa ni jiji la Ilala) , na kwa kweli wengi walitii amri ile na kuendelea kubaki kwenye vijiji vyao.
Sasa hoja yangu ni kutaka kujua hatima ya amri ile "halali"...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la viongozi wa kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa.
Je, huku si kukosa uzalendo?
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani.
Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule...
Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu.
Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana.
Ni Prof...
Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini”
Amemshambulia sana Rais Magufuli.
1...