Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5.
Huu ni utaratibu mpya kabisa, ambao haujawahi kuwepo tokea nchi yetu ipate uhuru wake, miaka 60 iliyopita.
Ni...
Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu.
Poor us
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
TAARIFA KWA UMMA
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti...
Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali.
Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka .
Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wanazokusanya kwa wananchi kwa kuwauzia maji kwa kipindi cha miaka sita.
Baada ya waziri kuvuja jumuiya hiyo...
Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money
kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
Kile kibao pale kipo miaka na miaka hadi sasa Kinataka kuanguka chini, hakina kabisa hadhi ya kuonyesha kweli hiki ni kibao kinachoelekeza uwanja wa ndege ulipo.
Kibao kidogo mno utafikiri ni cha boda boda Jamanii kumbe kinaelekeza uwanja wa ndege tena wanaposhuka watalii na watu ma shughuli...
CHAMA CHA MAPINDUZI UONGOZI ONLINE COURSE
Chama cha mapinduzi ni chama cha kisiasa nchini Tanzania kilichoundwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kutoka Tanganyika na Afro Shiraz Party kutoka Zanzibar,chama cha mapinduzi ndio chama tawala...
Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake
Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama
Mwalimu nyerere memorial academy
Mwalimu nyerere international airport
Nyerere hydroelectric power
Nyerere...
Rushwa. Kila mmoja anapozungumza huona huonekana kama kitu kilichopo mbali sana naye. Mara nyingi inapozungumzwa rushwa inawahusu vigogo au watu walio na nyadhifa katika taasisi mbalimbali.
Inawezekana kuwa sahihi lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanajamii ndio wanaotengeneza viongozi...
Mnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu.
Ona ukweli huu hapa👇...
Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
Chuo cha UDSM ambacho ndio cha kwanza hapa Tanzania kwa ubora wa elimu kimeshika nafasi ya 42 kati ya vyuo vyote vya Afrika.
Kama UDSM kimeshika nafasi ya 42 kiafrika na ndio cha kwanza kwenye ubora Tanzania. Vyuo vinavyobakia hata kwenye list havimo. Havimo kabisa.
Hivyo ni dhahiri elimu...
Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua.
UPDATE: 06 August, 2021
Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Aidha...
UFUNGUZI WA KIKAO MAALUM CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KWA AJILI YA KUTATHIMINI UTENDAJI KAZI WA SHIRIKA KWA MWAKA ULIOPITA 2020/2021 NA KUKUBALIANA MALENGO YA MWAKA HUU 2021/2022
Shirika la Posta linaendelea na kikao maalum cha tathimini ya utendaji Kazi kwa Shirika la Posta...
Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao.
Leo hii maneno hayo yanatimia kwa Viongozi wa Chadema.
Wamekuwa wakihamasisha sana juu ya chanjo...