viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaonya Viongozi wanaotumia ubabe migodini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano mzuri kwa Wananchi badala ya kufanya ubabe Migodini. Amesema, "Wabunge ambao maeneo yenu miradi hii ipo, iwasaidie kujenga Maendeleo na nchi sio iwajenge ninyi binafsi. Kuna ile...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni bahati mbaya sana Viongozi "Think Tank' kama huyu Angetile Osiah aliyewahi kuwa Boss TFF hawatakiwi Tanzania

    Nimeshangaa kusoma kwamba eti kiongozi wa klabu ya Biashara anasema anachojali “ni fedha tu za Udhamini wa GSM, na hayo mambo mengine hayawahusu”. Hicho ni kiwango kikubwa cha kutojua wajibu wake kama kiongozi wa klabu ya Ligi Kuu, haki za klabu hiyo na vyanzo vya mapato. . Kwa kiongozi kama...
  3. JamiiForums Tanzania vituko vya viongozi wa Africa katika picha

    picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk... Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe? Why...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

    Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa...
  6. JamiiForums Tanzania Wachezaji na Viongozi wa Simba SC, nyie ndiyo wa kuniokoa; tukifungwa na Yanga SC Desemba 11 nitakoma hapa JF

    Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

    LEO Desemba 05, 2021 NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU" LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjU
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wetu waliogomea suala la kuunganisha Tanzania, Uganda na Kenya waliona mbali

    Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu kama ambao hawakua na upeo wa kuona mbali, ila nimekua nasoma hizi taarifa za mkanganyiko wa Zanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania Nipo mbioni kuishtaki Jamhuri dhidi ya Jeshi (Tanpol), watu wasijulikana na kauli tata za viongozi wetu

    Wanajukwa habari zenu! Naomba niende moja Kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Kwa mujibu wa mambo yanavyo kwenda,hususani kwenye kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa upinzani. Kunavitu vimebainika na baadhi ya watu wameanza kusema na kuhoji mambo mengi sana. Kuhusiana na heshma...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu. Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona. Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

    Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
  14. JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Viongozi kama DCs na RCs ni ufunguo wa Mashtaka dhidi ya viongozi wa juu

    Haya ni maono tu. Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya. Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu. Let's watch and see. kwaherini kwa leo WAPOLOO A.K.A WAHUNI KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  15. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Mwishoni mwa Mwaka Tujikumbushe Kauli za Viongozi Wetu

    Ni muhimu kufanya recap tusije tukasahau maagizo ya viongozi wetu Shemeji yenu ametest mitambo usiku ameona iko vizuri haina shida - Health
  16. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi sijawasikia muda katika Vyombo vya Habari tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe umemkumbuka nani?

    Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6. Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wanaotukalisha barabarani ili misafara yao ipite hawajali wala kuheshimu muda wetu

    Thread was deleted
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania tunazalisha wanasiasa, wanasheria na viongozi wa Dini kuliko wanasayansi alaf tunataka kuingia 5G

    Wana JF, Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi. Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wenye exposure Tanzania ni waongo?

    Najaribu kutafakari namna Viongozi wetu wenye CV nzuri na waliozunguka dunia wanavyoishi wakipewa madaraka. Ni viumbe wanaoongeza kwa kudanganya na kujidanganya. Pamoja na maisha yote waliyoishi DUNIANI Bado wapo tayari kuishi Kwa uongo uongo wakiamini na wananchi wanadanganyika. Tulitegemea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…