viongozi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya maandamona Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kutoka kwenye makazi yako

    Nikiwa kama mtanzania mpenda amani ,naomba vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu vihakikishe kuwa siku ya hayo maandamano uchwara ya chadema ,viongozi wote wa chama haswa Mzee Mbowe,Mnyika ,Tundu Lissu,Mpuuzi Lema na Mjnga Sugu hatakiwi kutoka nje ya uzio wa nyumba zao kwa siko husika.
  2. chakii

    JamiiForums Tanzania Uzushi unaolenga kuwarejesha gerezani viongozi wa CHADEMA

    Habari wanaJukwaa Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Na uzushi wenyewe ni wa kesi kubwakubwa za kijinai ikiwemo hilo linaloendelea mitandaoni sasa kuhusiana na...
  3. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sera zote za viongozi wa CHADEMA zinamlengo wa ukabila? Kwanini hawaongelei umoja wa kitaifa?

    https://www.instagram.com/reel/C-7ndt1NFq5/?igsh=MTB2MHdtZnF5N2p1cg==
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?

    Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani. Pia soma: Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama Polisi wana sababu kuwakamata viongozi CHADEMA na hawafanyi kazi kwa maagizo ya CCM, walipaswa kulikataa agizo la Nchimbi

    Mara nyingi nimesema kwamba Polisi Tanzania wanafanya kazi kwa namna ambayo ni very unprofessional na kwa lengo la kuwafurahisha CCM. Wanajikomba, wanajipendekeza kwa CCM kupita kiasi, hadi inatia aibu na kichefuchefu. Sasa katika tukio la Mbeya la viongozi wa Chadema kukamatwa, Dr. Nchimbi...
  6. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

    Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa Polisi David Misime. Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Dk...
  8. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachoendelea Mbeya kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA ni msiba kwa spika Tulia Akson na CCM

    Kuwakamata viongozi wa chama kikuu cha ushindani CHADEMA mkoani Mbeya kinaweka rehani ubunge wa Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Chama chake cha Mapinduzi (CCM) Hatua hiyo inakipa umaarufu chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kiki na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Kamatakamata ya Wanasiasa inapingana na 4R za Rais Samia

    Soma Pia: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

    https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4 Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana na Viongozi wa Chama hicho unaendelea. Akizungumza na JamiiForums amesema “Hadi kufikia leo Asubuhi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu wataje hao viongozi wa CHADEMA walionunuliwa kabla hawajaondoka na kuanza kukipaka chama matope

    Nakushauri Tundu Liissu utaje mapema iwezekanyo hio orodha ya wanachama wa CHADEMA walionunuliwa pamoja na huyo kiongozi kuliko kusuburi waanze kuondoka na kuanza kukipkaa chama matope kama anavyofanya sasa Msigwa ndio muanze kuwajibu kwani itakuwa ni too late. Kuna faida kubwa sana kuwaanika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wanajifunza nini kutoka kwa viongozi wa HAMAS?

    MISUKO SUKO WANAYOPATA HAMAS NA MISIMAMO KATIKA KUPIGANIA HAKI ZAO NA NCHI YAO KUTOKA MADH-LUMA Tangu Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, alipouawa mjini Tehran, mji mkuu wa Iran, baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian, imekuwa...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

    Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo. 1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk 2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

    SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaweza kutofautiana na Mtu kimtazamo, kidini, kiitikadi, kielimu,kimaumbile, kihadhi, kiuchumi, kiukabila miongoni mwa mambo...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba. Mheshimiwa Rose Mayemba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hama hama ya viongozi wa CHADEMA inarudisha nyuma hamasa ya vijana kuupambania upinzani

    Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA. Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza. Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandalizi ya Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa yamekamilika. Tunawatakia kila la heri Wagombea wote

    Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika. Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawashukuru sana makada na viongozi wa CHADEMA kwa free publicity wanayoipa CCM kupitia majukwaa yao mitandaoni

    Nitakuwa mchoyo wa shukrani na pongezi nisipoandika uzi huu wa kuwashukuru na kuwapongeza kwa dhati makada na viongozi wa CHADEMA kwa kukitangaza bure Chama Cha Mapinduzi kupitia majukwaa yao mitandaoni. Kila CCM inapofanya jambo lake huwa viongozi na makada wa CHADEMA hupost kwenye pages zao...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni Walaghai

    Viongozi wa CHADEMA wanakosa sifa ya kuaminika kwa umma kama chama mbadala. Wametanguliza maslahi binafsi kuliko ya wanachama wao. Kwenye masala ya Fedha CHADEMA hawajawahi kuwa wawazi. Hii ni dosari kubwa kwa chama kinachoikosoa Serikali. Hakuna operesheni hata moja ya michango ambayo imewahi...
Back
Top Bottom