viongozi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata ya viongozi wa chadema, CHAMA hiki kinazidi kukuwa ndani na nje nchi

    Bila shaka wote ni wazima, ccm inazidi kukipaisha CHAMA cha chadema ,wakizani kuwa kwa kuwakamata viongozi wao na wanachama wa chadema kila mara ni kukizofisha CHAMA hicho,kumbe wanakipiga teke CHAMA hicho na kukiongezea safari. Chadema inazidi kuwaingia mioyoni watu mbalilmbali ndani na nje...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Chadema Jeshi la Polisi halina siasa, Niffer na Diva wana siku ya pili leo wako lock up, mngekuwa nyie mko Lock Up hadi leo kelele kibao

    Huwa mara kadhaa viongozi wa Chadema wanapokamatwa na kusafirishwa mikoani wengi tunabeza na kudhani Polisi wanaigiza ama wanafanya siasa, mitandao yote ya Chadema utaona taarifa za kuzusha na ufala mwingi sana, mara Boni Yai kasafirishwa Kilimanjaro, utasikia Malisa kasafirishwa moshi...
  3. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitokezeni hadharani mseme Mbowe alipo ana muda mrefu haonekani

    Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe. Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe Viongozi wa CHADEMA mpo after vyeo vyenu na siyo hali bora ya Wananchi?

    Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu) "Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k". Kwahiyo safu ya uongozi ya...
  5. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hizi damu zinazomwagika za viongozi wa CHADEMA zinatoa picha mbaya na nzuri huko tuendako

    Wasalaam ndugu wana JF! Nisikuchoshe, usinichoshe, tusichoshane. Twende kwenye mada yetu moja kwa moja Kwa wale waumini wa dini karibu zote duniani yaani ukristo, uislam, Uyahudi, Wabuddha, Wahindu, Washinto na ata hizi dini za Mababu zetu zote zinaamini kwenye kutoa sadaka/Zakkah...
  6. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA huwa hawana ulinzi?

    Inachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama. Ina maana ni mchana kweupe, Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati ni kiongozi wa kitaifa wa chama, hayo majukumu alikuwa anatekeleza chumbani kwake kwa maana ya peke...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Viongozi, Wanachama, Wananchi na Waandishi wa Habari waliokamatwa kwenye Maandamano ya CHADEMA

    Orodha hii itaendelea kuboreshwa kwa kadri Majina mengine yanavyotufikia. Hii ni orodha ya viongozi, wanachama, wananchi na waandishi wa habari walioathirika na kushikiliwa na Jeshi la Polisi leo tarehe 23 Septemba, 2024. Mheshimiwa Freeman Mbowe - Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Tundu...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Viongozi wa CHADEMA wanaenda kukamatwa na kutoachiliwa mpaka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uishe

    Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu. Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani muda mrefu ili wasikiongoze chama kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia mpango wa maandamano. Wanawashikiria kwa sasa wanahojiwa kwa ajili ya hatua za kisheria. Kamanda...
  11. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

    Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini? Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

    Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now. Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata. Sasa kama waliplan...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri viongozi wa CHADEMA kuanza kushikwa! wekeni kamera tuwaone hao watekaji

    Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano. Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo. Huu ni ushauri tu
  14. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Kwa mfano viongozi wa CHADEMA wakikamatwa maandamano yatakuepo?

    Salaam Wakuu Sote tunayo taarifa ya mipango ya kufanyika Maandamano. Yanayoandaliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Maandamano hayo yanakuja baada ya vitendo vya utekaji na mauaji ya baadhi ya viongozi wa Chama hicho. Tayari Jeshi la Polisi Nchini limeshapiga marufuku uwepo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya maandamona Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kutoka kwenye makazi yako

    Nikiwa kama mtanzania mpenda amani ,naomba vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu vihakikishe kuwa siku ya hayo maandamano uchwara ya chadema ,viongozi wote wa chama haswa Mzee Mbowe,Mnyika ,Tundu Lissu,Mpuuzi Lema na Mjnga Sugu hatakiwi kutoka nje ya uzio wa nyumba zao kwa siko husika.
  16. chakii

    JamiiForums Tanzania Uzushi unaolenga kuwarejesha gerezani viongozi wa CHADEMA

    Habari wanaJukwaa Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Na uzushi wenyewe ni wa kesi kubwakubwa za kijinai ikiwemo hilo linaloendelea mitandaoni sasa kuhusiana na...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sera zote za viongozi wa CHADEMA zinamlengo wa ukabila? Kwanini hawaongelei umoja wa kitaifa?

    https://www.instagram.com/reel/C-7ndt1NFq5/?igsh=MTB2MHdtZnF5N2p1cg==
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?

    Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani. Pia soma: Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kama Polisi wana sababu kuwakamata viongozi CHADEMA na hawafanyi kazi kwa maagizo ya CCM, walipaswa kulikataa agizo la Nchimbi

    Mara nyingi nimesema kwamba Polisi Tanzania wanafanya kazi kwa namna ambayo ni very unprofessional na kwa lengo la kuwafurahisha CCM. Wanajikomba, wanajipendekeza kwa CCM kupita kiasi, hadi inatia aibu na kichefuchefu. Sasa katika tukio la Mbeya la viongozi wa Chadema kukamatwa, Dr. Nchimbi...
  20. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Vita ya U-IGP yaweza kuwa imechangia kukamatwa viongozi wa CHADEMA?

    Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa Polisi David Misime. Nini kimesababisha Mtu anayehisiwa kuyataka madaraka ya IGP atoe statement badala...
Back
Top Bottom