viongozi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni kielelezo kizuri cha uzalendo

    Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka. CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi. Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Singida Wamlilia Rais Samia Kuhusu Kesi ya Mwenyekiti wao"

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe tamko la kuachiwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho ambaye anadaiwa kukabiliwa na kesi ya uhani...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM GEITA: Kikao cha viongozi wa CHADEMA Bagamoyo lengo kuu lilikuwa kuvuruga uchaguzi na amani kwa sababu wao sio Watanzania

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa 2025 wa kuwachagua Rais wabunge na Madiwani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mvutano mkali kati ya Viongozi wa CHADEMA na Polisi Ruvuma baada ya Mkutano wa Hadhara Kuzuiwa

    Mvutano umeibuka baina ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma baada ya jeshi hilo kuzuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika leo katika viwanja vya Shule ya Msingi Songea. Katika video hii inamuonyesha Makamu Mwenyekiti wa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrobas Katambi ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA

    Patrobas Katambi Naibu Waziri Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Akisema waonge hoja kwa hoja Lissu awe kulia John Heche awe kushoto Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Tabora: G55 ni wahuni na wasaliti wanakiuka msimamo na maazimio yaliyopitishwa kwenye mikutano halali ya chama

    Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM

    Wakuu Je, Ni kweli viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake. Asubuhi ya saa 3:30 kuelekea saa 4 kamili viongozi na wanachama wa chama hicho wakiongozwa na Katibu wa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa chadema hawajudhurii mashindano ya Qur'an?

    Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua ya malalamiko kuhusu Uteuzi wa viongozi watendaji na wajumbe wa kamati kuu CHADEMA imewafikia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema barua ya malalamiko kuhusu uteuzi wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyowasilishwa katika ofisi hiyo na kada wa chama hicho, imewafikia. Kanda huyo Lembrus Mchome, mjumbe wa Baraza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini Ngoja...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

    CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano. Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara. Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
  14. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu na Mbowe uso kwa uso kwenye kikao cha Baraza Kuu CHADEMA 2025

    Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA 2025 kinafanyika muda katika makao makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, ambapo viongozi wakuu, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wakutana uso kwa uso. Huu ni mkutano muhimu unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu mustakabali wa chama kuelekea kesho Januari 21 kwenye...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kulikoni vyombo vya habari kuwapa viongozi wa CHADEMA nafasi yani airtime kubwa hivi kipindi hiki?

    Imekuaje vyombo vya habari ambavyo vilikuwa havirushi habari za viongozi wakubwa wa CHADEMA sasa ghafla vimekuwa havikauki kuwahoji viongozi waandamazi wa CHADEMA na havikosekani katika press conferences za Lissu, Mbowe, Mnyika, Lema na viongozi wengine wengi wa CHADEMA?! Miezi kadhaa hapo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama

    Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama. "Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa CHADEMA mkamtembelee hospitali Abdul Nondo

    Pamoja na ukweli kuwa Abdulu Nondo na chama wake walikuwa hawawaungi mkono katika mapambano ya kupinga vitendo vya utekaji na uuaji, nawashauri muonyeshe ukomavu wa kwenda hospitali ya Aghakan kumtembelea Abdulu Nondo alielazwa hosptalini hapo baada ya kutekwa na kisha kujeruhiwa. Kama viongozi...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuuawa, kutekwa, kupotea na kushambuliwa kwa viongozi wa CHADEMA, kunaashiria nini?

    Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili. CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa mgombea wao kwenye kitongoji kinachoitwa "Stendi" amepigwa risasi na kufariki. Lakini pia CHADEMA...
  20. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania CCM wangejua ya kwamba kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na kuwatendea vibaya CHADEMA wasingethubutu kufanya haya

    Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani...
Back
Top Bottom