Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama...
Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje...
Wakuu!
Hili la Haji Manara na mke wake wa zamani Rushaynah "kujifanya wamerudiana" linapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili.
Ni kama sehemu ya mkakati wa kupotosha fikra za Watanzania na kuwatoa kwenye reli ya mjadala mzito unaoendelea kuhusu mustakabali wa Taifa letu, hususan sakata la viongozi...
Husika na mada tajwa hapo juu:
Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu.
Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama...
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
Golf Mike Uniform!
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya...
Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana
Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma.
CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
Wawatembelee:-
1. Viongozi wa dini.
2. Wafanyabiashara.
3. Marafiki wa chama wa nje na ndani ya nchi.
4. Asasi za kiraia.
Kwa lengo la kutunisha misuli ya kifedha kupitia wadau hao.
Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amedai kuzuiwa kusafiri nje ya nchi leo mchana katika mpaka wa Namanga wakati akielekea Nairobi, Kenya.
Lema amesema akiwa katika ofisi za Idara ya Uhamiaji aliambiwa kuna zuio kwa viongozi wa CHADEMA kusafiri...
Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi.
Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa;
Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho?
Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa...
Heshima sana wanajamvi.
Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk.
Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina...
Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema.
Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000.
Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa...
Uso wake umesinyaa kwa huzuni kubwa baada ya kusikia kuwa viongozi wanaadamizi kama kina Benson Kigaila, John Mrema, Salum Mwalimu, Sungu na viongozi wengine wengi wakimkimbia Lissu.
Maelfu ya wanachama wakimbilia vyama vingine huku wakimuacha Lissu na Heche wakishangaa, hawajui cha kufanya...
https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election".
Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.