Je,
ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa?
Na je tutegemee kuona mafarakano ya kisiasa ndani ya chadema taifa katika muda usiokua mrefu sana ujao?
Na...
Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli.
Hamna mtu mwenye uwezo...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Songwe @fatumamnahwate amesikitishwa na namna Viongozi wa Chadema wanavyoeneza chuki na kupakiza uchochezi kwa watanzania kwa maslahi yao binafsi.
Fatuma ameeleza kuwa chama hicho kwa sasa kimegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa kiwanda cha kuzalisha...
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
Kuna watu wanatumia siasa za Afrika ili familia zao zile, ziishi na Kuna wengine wanatumia siasa ili kupata followers kwenye mitandao ya kijamii lakini kichwani ni sifuri hawana strategic zozote za kisiasa za wanataka wafanye nini zaidi zaidi ni kufanya vurugu ili wapigwe na Mimi nasema WAPIGWE...
Kwa hili nawapongeza viongozi wa Chadema wametumia akili kubwa
Maana yake kama Mnyika atakuwa kwenye maandamano hatachululiwa kama chadema Bali kama raia na mwananchi wa kawaida
Kwa hiyo wananchi ndio watakaoamua mustakabali wa mambo Yao
Hata Tundu lisu kuwa Gerezani ni salama zaidi kuliko...
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio...
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
Mnatambua wazi kuwa CCM imeshachokwa na Watanzania. Watanzania hawaitaki CCM na hawamtaki rais Samia. Hili lipo wazi.
Mnafanya uzembe kuandikisha wanachama kwenye vyuo vikuu.
Mnafanya uzembe kuandikisha wanachama ambao wana uwezo na kupambanua mambo kama Deogratius Mahinyila.
Ni kweli...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akijibu swali la Mwandishi leo Juni 10, 2026 kuhusu taarifa ambazo chama hicho zimeeleza kuwa kufuatia kusikilizwa kwa kesi ya Tundu Lissu kesho Polisi inajiandaa kushambulia wanachama na viongozi wa CHADEMA kwa kisingizio...
Nimekutana na hii video TikTok na maelezo haya, kuna uhalisia wowote wa hili?
==
Taswira inayozidi kujitokeza ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inazidi kuibua maswali mengi kuliko majibu, huku vitendo vya baadhi ya viongozi vikionekana kukiondoa chama hicho kwenye misingi ya...
Naomba kusiwe na lelemama kwa mtu yyte anayetukana viongozi mitandaoni, hii tabia imeibuka baada ya chadema kuruhusiwa waanze kufanya shughuli za kisiasa. Tusicheke na hawa vibaka wa chadema wanaotukana viongozi wetu mitandaoni.
Mtoto mwenye malezi duni lazima anyooshwe na dunia
Nilimuonya LEMA na wengineo kua Waache Siasa za kuihalalisha Serikali ya CCM, Nikawashauri hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/mikutano-ya-chadema-ijikite-kuzungumzia-mo29-lissu-utekaji-na-mauaji-yanayoendelea-ijikite-kuwatia-wananchi-huzuni-na-hasira-lema-shituka.2436248/
Hapa Lengo ni...
Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema.
Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema.
Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo,
Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1
Ila viongozi wangu makini wa Chadema, hebu wahurumieni hawa Watanganyika wenzetu police
Kuwaita masikini, kuwa...
Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja.
Hii tabia za kuwatukana viongozi wetu IKOME! Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwapate wachacche kama sample tu ili...
Namtoa Lissu pekee kapitia Mengi labda kafungwa na hasira na wanashindwa kuja na ajenda zenye kufanya chama kibebe maono ya taifa.
Ukimya wa chadema kuelekea Mei mosi. Siku ya wafanyakazi. Naona jinsi akina heche wanavyotumika.
Mabadiliko yote duniani kuanzia ufaransa, Uingereza, marekani na...
Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba
Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo usiku hivi inabidi mkae kwa rada sana !!!
Najiuliza kwani kumbe report haikuwa ya maana yeyote ni...
Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote.
Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
Salaam,
Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.