Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo. Kati ya wazalendo ni hawa hawanufaiki lolote kipesa kwa wanayofanya
1. Huwezi kuwa Mzalendo na mwizi wa kura halafu ukajiita mzalendo.
2. Huwezi kuwa Mzalendo na kuuwa vijana bila kufuata sheria
3. Huwezi kuwa...
https://youtu.be/UOlqEJEsEI4?si=shzpruz0fzVk93XV
Ujumbe ndio huo Israel wanaendelea kupewa kichapo, na Israel wameshangaa kusikia Trump kakubali kusimamisha vita na Iran
Mkuu wa Majeshi ya anga wa Iran vita vitaendelea mpaa target zetu zikamilike kwa faida ya Iran
Kuna kiongozi mmoja naye pia ni member humu Jamiiforums. Watu walimwona kama kiongozi makini tangu awamu iliyopita na sasa pia.
Mimi nakwenda naye kinyume, hafai. Kiongozi yeyote anayesubiri aone nini kinatembea kwenye mitandao ndipo afanye kazi yake namfananisha na mtoto mdogo ambaye hajui la...
Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo.
Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku.
Huo ndo uhuni unaofanyika Irani. Mtu hakupendi anakupendekeza upate cheo. Basi baada ya hapo anatulia...
Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed.
Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy.
Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao.
Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
Hamjambo wote!
1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa.
2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili.
3. Sio maadili ya kuhubiri mimbarani, au kwenye majukwaa kama kasuku. Huo ni ukasuku. Huwezi sema...
Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana
Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata.
Tanzania, Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu...
Inasemekana Trump ameweka msisitizo kwa viongozi aliowateua kuvaa aina ya vitu anayoipendelea zaidi vya brand ya Florsheim. Inasemekana viongozi wengine hadi anawanunulia hivyo viatu anawatumia kama zawadi ili kuwapa presha ya kuvaa.
Marco Rubio ameonekana akiwa amevaa aina hiyo ya viatu...
Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ?
Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa...
FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali.
Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43, akiwa mfanyabiashara wa vinyago, eneo la Mwenge, Dar es Salaam, anasimulia kuwa miaka mitano...
Anonymous (c723)
Thread
ambulance
chache
magari
magari ya viongozi
mwaka
nchini
viongozi
wakati
Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro.
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu.
Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo.
Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
Anonymous
Thread
afya
afya ya binadamu
afya za watumiaji
binadamu
chafu
hata
hela
holela
kero
kila mwezi
kiunganishi
kuchukua
kuepuka
kutokana
magonjwa
magonjwa ya mlipuko
mamlaka
mawenzi
mjini
mlipuko
mvua
mwezi
nyakati
soko
uchafu
ushuru
viongozi
wakazi
wateja
watumiaji
Salaam,
Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.