vijana

  1. Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

    Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia . History tends to repeat itself MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA...
  2. Nini kifanyike kuwanusuru ili vijana wa kitanzania wasirubuniwe kifikra na kufanywa kua mamluki wa mabeberu na kufunzwa ugaidi nchi Jirani?

    Kama mdau wa jukwaa hili muhimu la siasa, unashauri nini kifanyike katika kuwaokoa na kuwanusuru vijana wa kitanzania ambao baadhi yao wamekua waraibu na mateka wa athari za digital sadism contents, ambazo zimewapelekea kurubuniwa kirahisi kifikra na hatimae kufanywa mamluki wa vibaraka wa...
  3. Askofu Kisare: Tuwasikilize vijana wanataka nini, Hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwanyamazisha kundi hili

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao, badala ya kutumia nguvu kubwa katika kuwanyamazisha. Askofu Kisare ametoa kauli hiyo jana, Desemba 17...
  4. K

    Mwananchi: Gen Z subirini tufe kwanza ndo muiwashe Tanzania moto, tusikubali kudanganywa na mabeberu, vijana fanyeni kazi

    Wakuu, Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini? Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
  5. Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
  6. Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

    Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili. Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki...
  7. H

    Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  8. Vijana, Hakuna Kuandamana Mpaka Muone Kibali Rasmi Cha Maandamano

    My people, Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate...
  9. Shutuma kutoka kwa Mzee wa Kizanzibari kuhusiana na vijana wa Kizanzibari kuzidisha anasa za mapenzi zinazovuka mipaka zina ukweli?

    Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya? Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
  10. Simbachawene VS Bashungwa: Vijana tumejifunza nini?

    Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako. Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa...
  11. K

    Wachungaji wadai kuvamiwa na kupigwa na vijana kwa kukataa mila, Arusha

    Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Vijana wa jamii ya Kimaasai, dhidi ya Wachungaji wa Makanisa ya Kipentekoste, Wake zao na...
  12. Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
  13. SOMA HII: Huko Nje Vijana Wamechachamaa

    Wakati mwingine unasita kuingia jamii forum, ili usome watu wanavyokandikwa, sasa hawa ndiyo Generation Z aiseee 😂 😆!!
  14. PostGE2025 Majizzo: Naomba sana tusapoti wasanii wetu, ni vijana wa kimaskini

    Mkurugenzi Mkuu wa EFM na TVE ambaye pia ni mdau mkubwa wa Muziki haswa wa Singeli, Majizzo amewaomba Watanzania kufuta kauli na Msimamo wa kugomea kusapoti Wasanii wa Tanzania kwa sababu eti walijihusisha na Siasa kwani wale ni watoto wa kimasikini ambao wanapambania ndoto zao hivyo kuacha...
  15. M

    Je, ni sahihi vijana kutumia simu na kompyuta kujisomea kuliko kutumia vitabu?

    Vijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa. Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa. Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu. Wanagugo ili kupata material wanayotaka. Je, simu na kompyuta zinadumaza akili?
  16. Viva vijana, viva Tanzania. Say no to wanaharakati

    Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi. Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi vizuri, kufanya kazi, kutafuta riziki, na kufurahia maisha bila hofu. Vijana tunahitaji mwelekeo...
  17. PostGE2025 Hawatoshi kutufanya vijana tukavuruga Taifa letu

    Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!? Naamini mpo salama kabisa. Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko. Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo. Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko...
  18. M

    Shukran vijana wa Tanzania aka Gen Z kwa kugomea maandamano ya 9/12

    Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!! IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
  19. S

    Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  20. R

    PostGE2025 Baba Levo: Nawasihi vijana msishiriki vurugu kuharibu amani ya nchi yetu, kwanini ushambulie jitihada za Rais Samia?

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…