vijana

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Mradi wa Kihistoria wa Vijana Nyamongo - Tarime

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME ▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000 ▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia ▪️Aupongeza mgodi wa Barrick North Mara kwa kutoa Leseni kwa Vijana wa Vijiji 13 ▪️Benki ya Dunia(WB) na Baraza la...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana Jikomboeni! Msikubali Kuishia Mtaani – Njooni Nifungue Akili Zenu, Life Haikosi Hope!

    Listen up vijana! Msisoteseke bure mitaani mkijiona kama dunia imewageuka – it's time to wake up and boss up. I’m here to open your minds na siyo kwa dharau au kujifanya najua, but kwa sababu I feel your pain. Najua hali ya nchi ilivyo, najua pressure iko juu, but trust me, kuna njia ya kutoka...
  3. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mapenzi yasiyo na pesa vs mapenzi ya pesa

    Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi kabla ya kujenga future yako – then you’re the biggest clown in this fcking game! MAPENZI KICHA...
  4. JamiiForums Tanzania Hustle Smart: Vijana Tuamke – Mtaji Mdogo, Ndoto Kubwa

    Kama una ndoto ya kutoka mtaa mpaka kwenye success ya ukweli—basi lazima ujue hii dunia haimsubirii mtu. Haina time ya kusikiliza visingizio. If you wanna make it big, start where you are, use what you got, and do what you can. Hii ni sayari ya wanaojituma, sio ya walalamishi. WHY BIASHARA...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana Acheni Mchezo wa Mtaani, Jela Haina Netflix!

    Yo my Gs, listen up real quick! Hii dunia tunayoishi sai, si kama zamani. Mchezo umebadilika, na kama hujaamka, unaweza kuishia kujichimbia kaburi ukiwa bado kijana. Bro, wanawake siku hizi sio wote ni fair game—some got traps set like landmines, ukikanyaga tu, boom! Kesi ya ubakaji juu yako...
  6. JamiiForums Tanzania Wito kwa vijana wasomi msiache vilaza wa darasani wakawa ndio watengeneza agenda za taifa

    Inaonekana na inataka kuzoeleka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio. Nawaasa vijana wote mliomo humu ambao ni vipanga hebu amkeni..na muwachape nondo za kisawasawa hawa vilaza waliokosa muelekeo na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Napohamasisha vijana kugombea, napata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wabunge, Sitarudi nyuma

    Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameapa kuwa hatorudi nyuma katika kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za Udiwani na Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, licha...
  8. JamiiForums Tanzania Bashungwa, Makonda Vijana wa Dola wanaoandaliwa Urais , wakataliwe na KANISA ,yoyote anayehubiri Uminywaji wa HAKI Kwa mgongo wa Aman, akataliwe !!

    Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa Bunduki ,utekaji na mauaji uendelee kama ulivyopangwa !!. Dola ambayo ndio inayowaongoza CCM Kwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosoma Bachelor of Archaeology ili waje kuwa wakina nani?

    Unakuta kijana kabisa anaenda Chuo Kikuu kusoma BA Archaeology ili iweje? Dunia ya Leo kweli?
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Vijana wetu wanahangaika kupata kazi, unatoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri wakati umeajiriwa?

    Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa. Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Fursa za biashara mtandaoni kwa wajasirimali vijana

    Kuongezeka kwa Biashara Mtandaoni: Fursa kwa Wajasiriamali Vijana Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii si mahali pa kupoteza muda tu—ni sehemu ya kujenga maisha bora. Vijana wengi wanaanza biashara zao mtandaoni kwa kutumia simu tu na akili ya ubunifu. Huhitaji duka, huhitaji mtaji...
  12. S

    JamiiForums Tanzania DC Makame: Vijana tambueni sababu ya uwepo wenu duniani

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Jabiri Makame, amewataka vijana nchini kujiuliza na kutambua sababu ya uwepo wao duniani, akisisitiza umuhimu wa kila kijana kujiwekea malengo ya maana na kujiendeleza kwa bidii katika maisha. Akizungumza katika Kongamano la Uwezeshaji Vijana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 M/Kiti UVCCM Kagera: Simamieni maslahi ya vijana siyo kupiga makofi tu

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, Faris Buruhani ametoa wito kwa viongozi wa vijana mkoani humo kusimama imara katika kulinda maslahi ya vijana wenzao hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, huku akiwakumbusha kwamba kazi waliyochaguliwa kuifanya ni kuwasimamia vijana ndani na nje ya...
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya Rais Ibrahim Traoré na Jinsi Anavyopendwa na Vijana Wengi wa Afrika.

    Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

    Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi: Vijana msikubali kupotoshwa

    Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa. Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa. "Ndiyo maana baba wa Taifa alisema vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa, vijana wa Tanzania wasikubali kupotezwa, vijana wa...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  19. JamiiForums Tanzania HAKI ya kumpata Papa Mpya IPO wapi? Wanawake, Vijana & Wa-Afrika hawana Haki ya kuchaguliwa?

    Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii? #NoReform_NoNEWPope#
  20. JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030

    Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka. Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule. Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…