vijana

  1. JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa CHADEMA – Chama kinamjenga mtu, si mtu kukijenga chama

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la baadhi ya vijana waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA kujiondoa au kuhama chama hicho kwa madai ya kubaguliwa, kupuuzwa au kutotendewa haki. Wengine wamelalamika kuwa juhudi zao hazitambuliwi, na hivyo kuamua kusaka hifadhi sehemu nyingine. Hata...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana waliomaliza form6 au wanachuo Tufanye nao kazi

    Vijana 6 wakufanya nao kazi SMARTWORK Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo. Malipo ya juu 30,000 kwa siku Maripo ya chini 10000 kwa siku Kama upo tayari niandikie mawasiliano yako hapo chini Mawasiliano yyte kama email Simu Acc ya social media Au yute...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana Ambao Mnataka Mafanikio Ya Haraka, Msikilize Huyu Jamaa.

    Kama Mwanaume Kitu unachotakiwa kukilinda kuliko vyote ni Uanaume Wako. Terrence Howard, Muigizaji huko America.
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  5. JamiiForums Tanzania CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana acheni kujidanganya linapokuja swala la ndoa au mahusiano wanawake wana mipango mingi ya siri jinsi ya kuwangamiza

    Mwanamke akishajua kupitia mwanaume aliyenae miaka ya mbeleni Kuna maisha huwa wana mipango mingi ya siri mioyoni mwao mpka siku atakajipata ..... Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa hajajipata huwa ni kiumbe mpole, mnyenyekevu na mtiifu kwa mwanaume lakini siku ambayo akijipata ni lazima abadilike...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM hapa JF mbona mnajifichaficha? Tuambieni kama hii hali ya kamata kamata na kupoteza watu mnaiunga mkono

    Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili? Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawendelei kwa sababu ya kuifuatilia vitu vichovu vinyonge na vilivyofelifeli

    Unachokifuatilia muda mrefu ndicho kinajenga ufahamu na mipaka yako kiakilini. Acha kufuatilia mambo madogomadogo, mambo ya manenomaneno yasiyo na vitendo. Unanyong'onyesha Ubongo wako. Mfano; Jamaa kapata milioni 300 lakini anafikiria kwenda kufungua mpesa au kufuga tung'ombe kwenye robo...
  9. JamiiForums Tanzania Idadi kubwa/Wingi wa vijana Afrika fursa au mzigo?

    Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na Uganda yenye 55% (UNICEF, 2024). Swali ni: Je, idadi hii ya vijana ni fursa au mzigo? Changamoto...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa kama sio vijana wa shinyanga basi ni kigoma

    Unakuta kijiji kizima kina mtindo mmoja wa nguo haswa siku za sikukuu ndio utajionea maajabu
  11. JamiiForums Tanzania SACP Ramadhani A. Mungi: Maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani yanaletwa na Vijana

    Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
  12. JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Huu Mtego Unaozidi Kutafuna HELA za Vijana Wengi .... Hadi Mafao ya Wazee Wetu Hayajasalimika Kwenye huu Mtego

    Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini . Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes) . Ponzi scheme Nini utauliza?? . Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo, . hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike tatizo la vijana kukwiba wanapoaminiwa kwenye biashara?

    Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆‍♂️, kumbe hiyo ni zuga tu. Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Vijana tumtafute Ibrahim Traore wa Tanzania tuache woga na kuliallia

    Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu. Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa. Vijana ndio tulipaswa kuwa tunakula matunda ya nchi na sio akina mzee Wassira. Badala ya vijana wengi wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

  18. JamiiForums Tanzania Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

    Habarini za asubuhi waungwana Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi kijana wa elf2 binafsi nachukizwa na huu msemo uliozuka katika jamii wa watu wengi kutuita sisi vijana wa elf2 eti vitoto vya elf2. Naombeni wenye hii tabia muache mara moja kwani sisi tumeshakuwa tayari ni vijana watu...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi hapa biashara 15 zinazo tajirisha vijana nchini kwa sasa

    Hizi ni BIASHARA 15 zinazowafanikisha vijana wengi kwa sasa, hasa Afrika Mashariki (ikiwemo Tanzania), pamoja na sababu kuu zinazopelekea mafanikio yao: CHAGUA YAKO. . 1. Biashara ya Mitandao ya Kijamii (Social Media Management & Influencing) Sababu: Vijana wana uelewa wa mitandao, hivyo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…