vijana

  1. Radical-1

    JamiiForums Tanzania Kijana kutoka Namibia ametengeneza Simu isiyotumia sim-card (line)

    Huyu kijana wa Namibia kwa jina la SIMON PETEUS amegundua simu isiyohitaji mfumo wa SIM (yaani kibongobogo laini za simu) Je unadhani hili lina madhara gani kwa watu wa kawaida na kwa wamiliki wa mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel na zingine ikiwa simu hii itaingia sokoni? Simu haihitaji...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uaminifu: Tabia inayochukuliwa Poa sana na vijana wa kitanzania

    Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia. Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hakimu aliyetoa hukumu hii dhidi ya Vijana wa CHADEMA -SIMIYU, kwanini asifutiwe shahada yake ya sheria?

    Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake. Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?. Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida awasihi vijana wote kushiriki uchaguzi mkuu

    ✳️ KAWAIDA AWASIHI VIJANA WOTE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewakaribisha vijana wote Tanzania katika Chama Cha Mapinduzi ili wapate nafasi ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na Kuichaguwa CCM katika nafasi ya Urais, Ubunge na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania PSRS mtaua vijana mtaani, toeni ajira

    Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji ya Biashara hatuna umri unaenda dira hakuna
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Somo kwa vijana: Hatukuhitaji ubwatukaji barabarani kurejesha mfumo wa vyama vingi bali utashi na utulivu wa kisiasa

    Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi. Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa. Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Natumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  12. cutelove

    JamiiForums Tanzania Tunaposema awepo mgombea binafsi muwe mnaelewa, angalia Sasa vijana waliokuwa wanategemea kupambana kupitia Chadema

    Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
  13. O

    JamiiForums Tanzania Haki haiombwi, inapiganiwa: Vijana wa leo kwa Tanzania Bora

    Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na uwazi. Sisi vijana tuna nguvu ya kuleta mabadiliko. Hatuhitaji tu kubadili jina, tunahitaji kubadili...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makete: Vijana wachoma moto Jeneza la marehemu wakidai kutokea kwa vifo tata kwa vijana wanaoenda kufanya kazi Dar

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya vijana katika kijiji cha Kilanji kata ya Kipagalo wilayani Makete mkoani Njombe wamechoma moto jeneza lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kasinde Sanga (28) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akifanya kazi dukani kwa madai kwamba kifo...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

    Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto. Jiepusheni...
  17. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Wengi wetu tuko hai lakini tumegeuka mazombi, tunachati Kwa Furaha, Lakini hatufikiri tunachozungumza

    Kupungua kwa mawasiliano ya kijamii kati ya wanajamii (socialization), na hasa kwa vijana na wanawake waliokulia katika maeneo ya mijini. Yote ni athari zinazochangiwa na matumizi ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii kama Twitter (X), TikTok, na Instagram, na jinsi zinavyochangia kuporomoka...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Vijana wanaopata VVU ni takriban 34.3%

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa,amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa wa UKIMWI bado ni tishio na kuongeza kuwa kiwango cha maambukizi mapya ni watu 60,000 kila mwaka ambapo vijana wanaopata VVU maambukizi ni takribani asilimia 34.3...
  19. Now and then

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kataa ndoa mmefikiwa sasa lazima muoe tu.

    Wakuu sasa hivi ndoa umekuwa mchezo wa kuigiza . Yule Kijana Aba OG ambaye alikuwa akiikaa Kama mwanamke na kufanya mambo ya kike hatimaye na yeye Kaoa . "https://www.facebook.com/share/v/12HFo54gqsc/"
  20. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wake za watu acheni vijana wa watu, tulieni kwenye ndoa zenu

    Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa. Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu. Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa...
Back
Top Bottom