vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wa kataa ndoa mmefikiwa sasa lazima muoe tu.

    Wakuu sasa hivi ndoa umekuwa mchezo wa kuigiza . Yule Kijana Aba OG ambaye alikuwa akiikaa Kama mwanamke na kufanya mambo ya kike hatimaye na yeye Kaoa . "https://www.facebook.com/share/v/12HFo54gqsc/"
  2. JamiiForums Tanzania Wake za watu acheni vijana wa watu, tulieni kwenye ndoa zenu

    Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa. Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu. Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi kutamwaga damu, sisi tunaotaka kugombea tunaepusha vijana wetu kuumia wakati wa kuzuia uchaguzi

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka Watanzania na viongozi wa kisiasa kuwa na tafakuri ya kina kuhusu namna bora ya kushiriki mchakato wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaweza kukupa kesi ya ubakaji so kuweni makini vijana.

    Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea . Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k Hawa viumbe wamechafukwa.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Iringa Vijijini awataka vijana bodaboda kuwatetea viongozi wa serikali wanaposemwa vibaya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tujipange naona vijana wameamua agenda yao ni 'No Reforms, No Election'

    Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025. Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
  7. JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tulinde maadili hasa ya vijana wa kiume-Rc Simiyu,Kenan Kihongosi

    Ulinzi wa maadili hasa kwa vijana wa kiume dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia,ikiwa ni pamoja na kufanyiwa vitendo vya kulawitiwa ni suala nyeti linalohitaji hatua madhubuti kutoka kwa jamii,serikali na taasisi mbalimbali. Hayo yameelezwa ,April 3,2025 na Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Kenan Kihongosi...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wa kazi waaminifu wanapatikanaje? (nina shida nao)

    Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi. Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha...
  10. JamiiForums Tanzania Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

    Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
  11. JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakuja JamiiForum kuchukua namba za watafuta ajira ili wawatapeli , so kuweni makini kuna hizi namba polisi zifatilieni wanatapeli vijana.

    +255613784064 +255610186092 Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya . Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira Ila wanamwambia achangie hela ya Vitu vifutavyo -Form elfu 40K -Chumba elfu 20K Ukiangalia watu Kama hawa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wasaidia vijana wa Kitanzania kushinda Kifua Kikuu sugu kisichosikia dawa

    “Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
  17. JamiiForums Tanzania Watu 19 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufundisha vijana mbinu za utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
  18. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

    Wafahamu mawaziri Vijana nchini Botswana. Bado tunatafuta mchawi?
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

    Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada. Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanaopita mitaani na vigoma na masinia kuomba hela wanajengewa maadili gani!?

    Sijui ni mafundisho ya dini au ni namna tu ya kujibwwteka nakerwa sana na huu utaratibu wa vijana wa umri mdogo wanaopita mitaani wanapiga vigoma na kuomba hela na ni bahati mbaya watoa hela nao hutoa vimiamia tu. Kwa hiyo unakuta mle kwenye sinia ama ungo kuna vimiamia vingi kweli. Kwa mtazamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…