vijana

  1. JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Vijana wetu wanahangaika kupata kazi, unatoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri wakati umeajiriwa?

    Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa. Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Fursa za biashara mtandaoni kwa wajasirimali vijana

    Kuongezeka kwa Biashara Mtandaoni: Fursa kwa Wajasiriamali Vijana Katika dunia ya sasa, mitandao ya kijamii si mahali pa kupoteza muda tu—ni sehemu ya kujenga maisha bora. Vijana wengi wanaanza biashara zao mtandaoni kwa kutumia simu tu na akili ya ubunifu. Huhitaji duka, huhitaji mtaji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania DC Makame: Vijana tambueni sababu ya uwepo wenu duniani

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Jabiri Makame, amewataka vijana nchini kujiuliza na kutambua sababu ya uwepo wao duniani, akisisitiza umuhimu wa kila kijana kujiwekea malengo ya maana na kujiendeleza kwa bidii katika maisha. Akizungumza katika Kongamano la Uwezeshaji Vijana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamlaumu Uhuru Kenyata kwa kuwashawishi Vijana wa Africa mashariki walete mabadiliko kwa kushika madaraka

    Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika Source: Citizen tv Kwako kijana Lucas Mwashambwa
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 M/Kiti UVCCM Kagera: Simamieni maslahi ya vijana siyo kupiga makofi tu

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, Faris Buruhani ametoa wito kwa viongozi wa vijana mkoani humo kusimama imara katika kulinda maslahi ya vijana wenzao hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, huku akiwakumbusha kwamba kazi waliyochaguliwa kuifanya ni kuwasimamia vijana ndani na nje ya...
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya Rais Ibrahim Traoré na Jinsi Anavyopendwa na Vijana Wengi wa Afrika.

    Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

    Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi: Vijana msikubali kupotoshwa

    Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa. Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa. "Ndiyo maana baba wa Taifa alisema vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa, vijana wa Tanzania wasikubali kupotezwa, vijana wa...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  10. JamiiForums Tanzania HAKI ya kumpata Papa Mpya IPO wapi? Wanawake, Vijana & Wa-Afrika hawana Haki ya kuchaguliwa?

    Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii? #NoReform_NoNEWPope#
  11. JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030

    Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka. Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule. Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa...
  12. JamiiForums Tanzania Maigizo ya Jokate: Vijana 100 wa CCM wahamia CCM

  13. JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  14. JamiiForums Tanzania Waraka wa PASAKA: Kwenu Vijana wa Ovyo, Lini 'Mtafufuka' Kama Bwana Yesu?

    Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa Leo Kwa vijana

    Hello jamiiforum Moja ya siku nzuri na yenye kupendeza ikiwa ni kumbukumbu ya kufufuka Kwa Yesu Kristo wa mbari ya Daudi. Hakika ni moja ya sikukuu bora kabisa Kwa siku ya leo. Ndugu zangu haswa wadogo zangu nawasihi na kuwakumbusha kuhusu NDOA.ndoa ni Jambo la hiyari ambalo wawili...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  17. JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  18. JamiiForums Tanzania Nilifumaniwa kwenye geto la demu enzi hizo lakini mzee wa nyumba ile akasema nisipigwe na vijana wanisindikize hadi kwetu.

    Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa? Kipindi hicho genye ndo limeshika hatamu yaani huniambii kitu kuhusu mbususu mara kadhaa nilikuwa sili...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

    Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wasomi wazidi kuudhihirishia umma kuwa INEC ni tume ya CCM na inafanya maamuzi kwa maelekezo ya CCM

    Tume Imeonyesha wazi kwamba reforms zinazopiganiwa na CHADEMA zinahitajika. CHADEMA inadhihirisha ni chama chenye watu wenye weredi mkubwa sana na ni wakati sasa Watanzania wajitafakari sana kuhusu hatma ya nchi ambayo imepokwa na kikundi kidogo. Msikilize Wakili Emma kupitia link hii akiwapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…