vijana

  1. JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    HESHIMA MBELE wakuu. Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma. Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna wakati JF ilikuwa runned na vijana wa 35+ na 40s ila nyakati zimebadirika, vijana graduates na 20s ndio wanakimbiza usukani na maajabu ni mengi

    Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣 Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea. Anyway kila kitu kina wakati wake, maisha yaendeleee
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vijana mjini

    Nawasalimu, Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo. Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia. Huko wakujue kwa jina tofauti, na...
  4. JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
  5. JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana kuona vijana wanazani kuwa mabadiliko ya katiba ndiyo yatamletea Chakula Mezani

    Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani yanahitaji uwazi na uwajibukaji(sheria) ila sheria siku zote ipo upande wa Msimamiaji. Inshu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana mkajiajiri, ubunge unataka mtaji hamna hamna TZS 80m

    Hakuna Mjumbe atakusikiliza blah blah zako huku unaendekeza ubahili. Toa pesa upigiwe Kura. Kama huna kajiajiri kulima matikiti. NB. Wajumbe Wana familia/bills za kulipa
  7. W

    JamiiForums Tanzania Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  8. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana, kutoka kwa Binti kiziwi

    Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha usitafute mwanamke wa kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.
  9. JamiiForums Tanzania Bunge la samwel SITA na la Tulia Akson je lipi lilikuwa bunge la wananchi?

    Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam

    Vijana njooni machimboni tupige ela, mnangangania daswamu(Dar) kutwa kuzurula mitaani tu Kunengua mauno kama dada zetu kweli?? Kijana mdogo dhahabu sio shida ata ukitaka nakugawia mtafute ela Kijana umerizika unakafriji, ka tv ka solar max na kitanda na vyombo taar na hapo upo dar zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi simu zinavyoua roho za Vijana wakiwa hai

    Tunazaliwa katika zama ambazo simu zimekuwa na akili kuliko watumiaji wake. Mitandao ya kijamii imepata ushawishi mkubwa kuliko wazazi au walimu, ikitoa maarifa yasiyoisha lakini bila hekima. Vijana kama Jaden, mwenye miaka 19, wanakaa usiku kucha wakichunguza Instagram, TikTok na Telegram...
  12. JamiiForums Tanzania Jambo ambalo vijana wengi wanaoingia kwenye utafutaji wanapaswa kulijua kabla ya mengine

    Kila kazi hata kama mshahara ni laki mbili KWA mwezi yupo mtu analia maisha magumu wakati huohuo hapohapo Kuna mtu anamshukuru Mungu KWA mshahara huo na anendesha familia KWA furaha kubwa. Kuna bodaboda kijana anaishi kwao na muda wote analia njaa, Kuna bodaboda mtu mzima anafamilia, amejenga...
  13. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu vijana, hizo nafasi mnazozitaka kwenye majimbo na kata wengi wenu zitawatokea puani. CCM nawajua vizuri

    Ikitokea Jimbo au kata mbunge au diwani wa CCM amekufa hapo kijana ingia chap unapata nafasi, ikitokea mbunge au diwani ametangaza kutoendelea na madaraka hapo kijana usizubae chukua nafasi haraka. Ikitokea mbunge au diwani ndugu yako sana msihi akutupie taulo akiridhia chukua nafasi haraka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshiu autaka ubunge wa Viti Maalum vijana

    Mjumbe wa baraza la Umoja wa Vijana wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam @dorcasmshiu amechukua fomu ya ubunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuakisi nyanja ya sayansi na teknolojia, kusaidia vijana kupata fursa mbalimbali na kufikisha hoja za...
  15. JamiiForums Tanzania Makapi ya mafuta si misingi ya Taifa

    "Vijana wa kizazi cha leo wanaamini afya iko kwenye mafuta; mihogo ya kuchemsha ni ya washamba, lakini ya kukaanga ni fasheni. Dagaa ni za maskini, lakini kuku wa kisasa anayewanenepeesha hadi wanaume kuwa na matiti kama wake zao ni starehe kwao. Halafu unategemea kupata taifa lenye vijana wenye...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Na Baadhi ya Watu Wengine Wangewaachia na Kuwaunga Mkono Vijana Kupata nafasi za Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Gen Z: Jaji Mkuu Mstaafu David Maranga na waandamanaji watawanywa kwa mabomu, raia wasiopungua 16 wauawa

    Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI ILIVYO KABLA YA MAANDAMANO KUANZA Polisi wametumia waya wenye miba kuzuia lango la kuingia Bungeni kabla...
  18. JamiiForums Tanzania Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana 57 watia nia Udiwani, Ubunge Chato

    VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita, wameonesha nia ya kuchukua fomu kuwania nafasi za ubunge na udiwani Uchaguzi Mkuu 2025. Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chato, Frank Kuzenza akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…