vijana

  1. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa SUA hawana ajira?

    Hello JF... Leo nauliza kwa nini wanafunzi wa SUA hawana ajira.??? Wenzetu mtu mwenye degree ni mtu mwenye uhakika na ajira... Kwa nini serikali isijenge vyuo vingi vya Kilimo watu wasome... Watu kuanzia waliomaliza darasa la saba mpakla form six waliofeli waingie kwenye hivyo vyuo wasome...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wasiokua na ajira, wakawagwajimanize hao wanasiasa wanaoona kama wao ndio wana hatimiliki ya kuiongoza nchi

    Habari za muda huu wanajamvi. Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa hao wanaowaambia wajitafutie ajira Huduma za afya ni mbovu. Miundombinu hairidhishi na mambo mengine...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wale vijana wa UVCCM waliosema wapo wabunge wanaosema afadhali Magufuli kuliko huyu walitaka kumanisha nini?

    Nimeona clip ndogo ya vijana waliokata tamaa wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam wakijaribu kuwajibu watu wanaomkosoa mpendwa wao , lakini wakiwa wanajibu wao wanakiri kuwa wabunge baadhi. Wakiwa sirini huko husema Bora alivyokuwa Magufuli kuliko huyu Ile kauli ili lenga kumanisha nini
  4. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naonaga hapa vijana wanahaha wakiulizwa "thibitisha kama Mungu yupo". Mtu akikuuliza hivyo we mjibu "na wewe thibitisha kuwa Mungu hayupo"

    Its simple, Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha vijana wenzangu

    John mason...! Kwenye kitabu Chake Cha imitation is limitations..anasema. Utaua uwezo wako pale tu utakapo Anza kujifananisha na wenzako. Nichukue nafasi hii kukumbusha kuwa,. Mtu Bora ni yule Ambae anafanya mambo Yale yale kwa namna nyingine.. Tujitahidi kuwa wabunifu kwenye maeneo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu

    Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake. Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini UVCCM hawawajibu Vijana wa Kenya?

    Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Amani, upendo, uzalendo na kujitambua : Elimu kwa vijana na watoto wa mtaani ili kujitambua juu ya umuhimu wa kuilinda na kuitunza amani ya nchi yetu

    Mtaa kwa mtaa tukizungumza na vijana kuhusu umuhimu wa amani ya nchi yetu ya Tanzania, tukizunguka kwenye vijiwe mbalimbali ndani ya jiji la Dar es Salaam na kufanya interview na vijana kubaini uelewa wao kuhusu dhana nzima ya amani na nini madhara yake endapo itatoweka. Tukiwa na kauli mbiu...
  12. YOHANA WILSONI LEONARD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao?

    Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao? Naombeni majibu hapa... na kama ni kweli, tufanyeje? na kama si kweli, shida hasa ni nini hadi vijana wengi wateswe na mapenzi kizazi hiki ilihali wako matured? 🥱
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  15. Gillsant

    JamiiForums Tanzania Tanga Yazindua Miradi 4 Mikubwa ya Vijana Kupitia Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili

    Mnamo tarehe 16 Mei 2025, Jiji la Tanga limeandika historia kwa kuzindua miradi minne mikubwa ya maendeleo ya vijana chini ya Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili. Uzinduzi huu umefanyika katika Hoteli ya Regal Naviera na kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 180 wakiwemo viongozi wa serikali...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    Hamjambo Wote! Baadhi ya watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao wakiwasifu vijana Wakenya kwa kile wanachokiita Kujielewa na Kujitambua. Huku wakiwatupia lawama vijana wa kitanzania kuwa ni vijana Maamuma, waoga, wasiojielewa, wapowapo tuu. Lakini Tathmini yangu ipo Kinyume kabisa na maoni yao...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa. Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani. Taasisi hiyo ni Open Society Foundation. Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa. Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kimedani: Vijana wasomi badilisheni Mbinu za kivita. Upepo wa mashambulizi umebadilika

    KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Upo kwenye Vita. Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde; 1. Nguvu kazi(jeshi) Jeshi ni wewe Mwenyewe! 2. Elimu, ujuzi, maarifa na mafunzo ya kivita. Hapa...
  19. verify

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wenzangu wa kiume!!

    .
  20. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
Back
Top Bottom