Wakuu, unakuta kijana anaishi mikoa ya kusini au kanda za pembezoni huko. Halafu anaambiwa interview aje Idodomya, logistic costs inabidi familia zijichange afu atatakiwa ahudhurie interviews kadhaa kabla ya kubahatika kupata kazi.
Kivipi hapo yani, mtu anaweza tumia millions to attend several...