vijana

  1. C

    GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  2. UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

    Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii. Kila post ni vyama vya upinzani tu. Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na...
  3. T

    RC Kunenge ni darasa kwetu vijana, is down to earth

    Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali kwa kazi maalum. Kwanza hii sio nafasi yake ya kwanza kuwa kiongozi Ila huwezi jua wala huwezi amini...
  4. Vijana wa Kitanzania, mna deni kubwa kwa Lissu

    Kwa tathmini yangu, kama kuna kundi ambalo future yao imeharibiwa sana na sera, maamuzi na mienendo ya serikali ya Magufuli, basi kundi hilo ni la vijana. Kwanza, tukianzia kwenye sheria kandamizi zinazotingwa kila siku ambazo zinafunga mianya hata ile midogo iliyokuwa imebaki ya vijana kuweza...
  5. Shinyanga: Vijana 2 chini ya miaka 18 mbaroni kwa kumbaka mtoto wa miaka 6 kwa zamu

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia vijana wawili, wakazi wa mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka sita kwa zamu. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Debora Magiligimba, akitoa taarifa hiyo jana kwa vyombo vya habari, alisema tukio hilo lilitokea...
  6. GE2020 Hivi kwanini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni

    Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni. Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa. Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na...
  7. Kuwakaripia vijana "Tazama wenzako mafanikio walionayo" huchangia stress, kufariki mapema na kuishia jela

    Mara nyingi kauli hizi hutoka kwa wazazi, ndugu, n.k wa muhusika ambaye mara nyingi huwa ni kijana ambaye kachoka kiuchum na mbaya zaidi kahitimu chuo maana wengi wanaomwambia hivi hudhani chuo ji muhuri wa mafanikio. Unakuta mtoto wa jirani kaja na gari kusalimia wazazi wake basi majirani...
  8. M

    GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  9. Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

    Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John, Rashid nk. Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi sio kabisa na majibu mengine kemkem...
  10. M

    Vijana wa Kitanzania na tabia za fisi

    Kiumri mimi siwezi kujiita kijana ila nimepitia huko katika nchi yetu hii Tanzania nguvu kazi kubwa ni vijana wasomi na wasio wasomi hawa wote hulka zao nazifananisha na fisi msituni, maisha yake yote fisi msituni utumia nguvu nyingi katika kunyang'anya mawindo ya wanyama wengine...
  11. Vijana mnaosoma sheria, jikiteni sasa kwenye sheria za uchaguzi

    Tanzania inapitia kipindi cha mabadiliko makubwa sana ya kisiasa. Alichojaribu kufanya Magufuli na serikali yake katika hii miaka mitano na resistance aliyoipata hasa kipindi hiki cha uchaguzi ni uthibitisho wa kile ninachokisema. Mfumo wetu wote wa siasa unabadilika mbele ya macho yetu, kuanzia...
  12. Tangu nifanye ukarabati wa nyumba ya mama yangu, napata pesa nyingi karibu kila siku. Vijana tuamke baraka zetu wanazo mama zetu

    Habari wakuu! Mama yangu ana watoto 8 nikiwemo na mimi. Wanaume tupo 4 na wanawake wako 4. Kati ya watoto hao mmoja ambaye ni brother wetu yaani first born ndiye ana Pesa . Hizi milioni kumi, ishirini kwake zinapita mara nyingi tu sema ana roho mbaya sana. Anashindwa hata kuwajengea nyumba...
  13. Viongozi wa CHADEMA wahamasishe vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Uchaguzi wa mwaka huu umekosa mvuto tofauti na uchaguzi wa mwaka 2015 ukipita mitaani na vijiwe vya kahawa hapa Dar unaweza kuzani hakuna uchaguzi watu wengi wanapiga stori za Simba na Yanga tu. Vijana wapo wengi kuliko wazee na wamama wa nyumbani vijana hawa ndio mitaji yenu CHADEMA vijana...
  14. Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane, tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana watanzania; Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe. Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu...
  15. S

    Vijana, kukata tamaa ni dhambi

    Wiki hizi mbili nimekua nkikutana na vijana wenzangu katika shuhuli mbalimbali za kijamii. Wengi wao ni hawa wahitimu wa Vyuo Vikuu wa mwaka huu, wanalalamika sana, mara maisha magumu, mara kazi hakuna, tumechoka kukaa home etc. Nkawauliza mmemaliza chuo juzi hata matokeo tu hayajatoka...
  16. Wimbi kubwa la vijana wasomi 20's kujitoa uhai, nini maoni yako?

    NI wiki iliyopita kuna kijana alijinyonga ma jana naskia mwingine tayari, Mwaka jana kuna aliyejitupa ghorofa ya supermarket. Hao wote walikuwa wasomi wenye miaka ya ishirini na kitu wakidai wana stress. Hili wimbi pengine linaweza kuwa kubwa sana tusipojiangalia. Mchango wako ni wa muhimu
  17. T

    GE2020 Mlitakaje? Yani mnataka Magufuli awapigie debe wagombea wa upinzani?

    Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala. Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na kusema bayana kuwa mkiniletea flani hapa maendeleo yatakuja msiponiletea huyu hiiiiiiiiiiii shauri...
  18. Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu kilema cha maisha kwa vijana wa Tanzania

    FAHAMU KIDOGO KUHUSU LOAN BOARD NDUGU! Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA, yaani watoto wa maskini. Sheria...
  19. Cybercrime Alert: Vijana watukutu, kuwavalisha barakoa bibi na bwana katika nembo ya taifa (Tanzania Coat of Arms) pia ni kosa la kimtandao. Usijaribu

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Bado sijaona mtanzania aliyefanya kitendo hiki lakini ninatoa tu tahadhari kwa ndugu zangu hawa wa Graphics Designing pamoja na wale wazee wa Photoshop. Kucheza na nembo za taifa sio jambo nzuri kupitia sanaa ya picha. Barakoa zilivuma sana...
  20. GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…