vijana

  1. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa HakiElimu: Zaidi ya 80% ya Vijana walioko Shuleni hawajawahi na hawahamasishwi kushiriki mikutano ya Kampeni na Siasa

    Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022 Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaolewa vyeo wanaweza kujishusha kama Said Bakhresa?, kuna somo kwa wanasiasa vijana kutolewa vyeo

    Hayati mmoja mwanasiasa akiwa waziri wa fedha aliongea kwa jeuri sana kauli iliyomfuata hata baada ya kifo chake, pale aliposema ndege ya Rais ni lazima itanunuliwa ikibidi hata wote tule majani!. Kauli ile ilileta mijadala mingi miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za nchi hii. Ilikuwa ni jeuri...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Magoha aishauri Serikali kufunga tovuti za Ngono kuokoa Vijana

    Katibu wa Baraza la Mawaziri upande wa Elimu anaye maliza muda wake George Magoha ameishauri Serikali kuzifungia tovuti zote zinazo jihusisha na maudhui ya ngono nchini Kenya ili kuwanusuru vijana hasa wanafunzi dhidi ya athari hasi za tovuti hizo. Amebainisha kuwa pamoja na kuwa dunia...
  4. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi, Septemba 19, 2022

    Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi. Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
  5. JamiiForums Tanzania Panya road 100 wakamatwa Temeke

    Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu Source: #EastAfricaRadio MY...
  6. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na Afya ya Akili

    VIJANA NA AFYA YA AKILI Kijana anatakiwa awe na afya ya akili kwa ustawi wake na jamii kwa ujumla. Afya ya akili nii hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutokuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Kuwa na afya ya akili itakuwezesha kuhimili mabadiliko...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Mawazo biriani chanzo cha kuchelewesha maendeleo kwa vijana

    MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, chanzo cha maovu na kupoteza uelekeo kwa vijana

    Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
  10. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na samaki kwani hii ni fursa kubwa sana

    Ufugaji wa Samaki ni fursa kubwa sana kwa mikoa ya Shinyanga na Tabora kwa kutumia maji ya ZIWA victoria. --- UFUGAJI WA SAMAKI(Sato) UNAWEZA KUTATUA HALI NGUMU YA KIUCHUMI KWA VIJANA WA MIKOA INAYOPITIWA NA MRADI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA (Hasa SHINYANGA Na TABORA) Ufugaji wa Samaki aina ya...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana na uchumi wa Afrika

    Uchumi ni nini? kumekuwa na maana nyingi kuhusiana na dhana nzima ya uchumi. Kamusi ya uchumi inafafanua uchumi kama "utafiti wa uzalishaji, usambazaji, na matumizi ya utajiri katika jamii ya wanadamu." Na tukiangazia uchumi kama taaluma ni maarifa ya matumizi mazuri ya rasiliamali ili...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuwekeze zaidi kwa watoto na vijana kwa maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali watu tukiegemea zaidi kwa watoto na vijana kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kwanini watoto na vijana...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tujitume, kulalamika hakuna faida

    VIJANA TUJITUME KULALAMIKA HAKUNA FAIDA Vijana wengi wa Wakitanzania wanaonekana kulalamka zaidi kuliko kujituma. Kama utafuatilia kwa umakini vijana wanalalamika kuwa serekali haitowi ajira, au hawana ajira, au kulipwa kidogo, huku wakitumia muda mwingi katika mitandao ya kijamii na maskani...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ndiye adui wa maendeleo ya vijana ninayelipa kodi

    Utangulizi. Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana Tabia za Kuepuka

    Kijana kama unataka kufanikiwa maishani, epuka tabia zifuatazo: 1: KUKOSA UAMINIFU KAZINI Vijana wengi sio waaminifu kabisa, wengi wana tamaa ya mali nyingi ndani ya muda mfupi, hata kama ni kwa njia isiyo halali. Kuna vijana kila wakipewa kazi wanawaza namna ya kupiga madili tu kama vile...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ibadili 10% ya mikopo kwa Vijana na wanawake kwenye Haimashauri, badala yake itumike kuendeshea masoko na minada kwenye Halmashauri husika

    Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima. Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili za kufikiri. Baada ya UTANGULIZI huo, ngoja nijikite kwenye mada. Bila shaka, Kama wewe no...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha ya kutegemea nyumbani, ndugu, wazazi, jamaa na marafiki 'yamewalostisha' vijana wengi

    Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi. Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana wa Tanzania ya leo

    Kama ilivyo katika mikakati ya kimaendeleo ya taifa letu kuwa kijana ndio nguvu kazi ya taifa na ndio taifa tegemewa la kesho, lakini kijana huyo huyo anaezungumziwa na taifa lake bado haelewi majukumu yake kwenye taifa lake, hii inakuja na vielelezo kadhaa: Kwanza, kijana haoni mchango wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuelewa kunavyokuza kueleweka kwa Kenani Kihongosi

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi. Na Kevin Lameck Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo. Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili na ambao unahusishwa na mwanahistoria Plutarch na mwanafalsafa Zeno wa Citium. Ujumbe wa Papa...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana wanaolalamika kuhusu ajira na wanaojisifu kufanya sana ngono, ni vijana wawili tofauti?

    Naomba kujua, hawa vijana wanaomuwaza Harmonize na CCM na kutafta connection za pornography, ndiyo hawa hawa job seeker or wapo tofauti tofauti kimakundi?! Kama ndiyo hawa hawa naomba serikali iendelee kupiga msumali wa kichwa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…