vigumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwa nini pamoja na kutokuwa na uthibitisho bado ni vigumu sana waamini Mungu kuwa atheists wakiwa wakubwa?

    Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo? Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya...
  2. 2019

    Ni vigumu sana Iran kutawaliwa na US na Israel watapigana mpaka mwisho naaamini.

    Hainiingii akilini kuwa eti makombora na mabomu yanaweza kuibadili uongozi au mfumo wa utawala Iran. Hata mtoto mdogo atakataa, Iran inaweza kupigana vita vya muda mrefu historia inaonyesha,wana uvumilivu wana nguvu na wana bidii,kama wamevumilia vikwazo toka enzi ya Mapinduzi kwanini...
  3. Genius Man

    Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji

    Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji. Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
  4. ELI COHEN

    Mourinho: "ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi"

    Anaendelea kusema: "Ninaendelea kusema kwamba ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi. Messi alikulia katika timu anayochezea, pamoja na wachezaji wenzake anaocheza nao. Cristiano alitoka Uingereza hadi kwenye timu iliyokuwa ikifeli. Ilimbidi akue katika miaka 2 ili wakati timu ikiwa...
  5. McLaren

    GE2025 Rais Ruto: Sisemi Tanzania hakuna demokrasia, lakini Kenya huwezi kushinda Uchaguzi kwa asilimia 96

    Hapa Ruto ni kama ametupa jiwe gizani hivi Yaani kapiga kwenye mshono alafu kajitetea
  6. baz kaiza

    Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% ?

    Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza. Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
  7. K

    Tofauti ya 2015 na 2025 ni vigumu kudanganya

    Tofauti ya 2015 na 2025 ni vigumu kudanganya. Kila mtu anajua ujanja wote wa wizi wa kura, kila mtu anajua viongozi wa uchaguzi, kila mtu anajua ACT Wazalendo na Chaumma ni pandikizi. Hii ndiyo tofauti ya 2015 na 2025. Huwezi kutumia uongo uleule ukafanikiwa kwa technologia hii. Mama anapata...
  8. M

    Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  9. S

    Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa

    These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa. Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha. Yanga...
  10. S

    Kwanini ni vigumu kufanya cloning ya ubongo, wakati tissue na organ nyingine tunafanya cloning?

    Kwanini teknolojia hii inafeli kwenye ubongo, ninamaanisha tunataka tufanye cloning ya mr X ili aweze kufanana na clone ya ubongo wake, kwa kila kitu
  11. Lord Denning

    Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  12. G Sam

    Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
  13. chiembe

    Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  14. S

    Ni vigumu sana kuteuliwa papa mwenye sura binafsi (personal face) kwasababu za siri

    Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia! Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki, Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma) Papa ni moja na nafasi ya juu sana katika nafasi zenye usiri mkubwa katika utawala wa dunia. Pamoja...
  15. MFALME WETU

    Kuna vitu ni vigumu sana kuvitetea

    Ugonile,. Mimi ni muumini mzuri tu wa dini ya kikristo (msabato) ninae amini katika uwepo wa Mungu, shetani na evil spirits zote pamoja na uchawi kuwa vina exist. Jana nilikua napiga stori na jamaa mmoja uku nchi za watu (yeye ni Mnorway) kwenye izo soga tukajikuta tumeibukia kwenye mambo ya...
  16. Nomadiq

    Msamaha: Huwa ni ngumu wewe kuomba msamaha? au huwa ni vigumu sana wewe kuombwa msamaha?

    Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea, Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
  17. Tlaatlaah

    PreGE2025 Ni vigumu kiongozi anayetegemea kila kitu kuchangia kumshinda mwingine aliyejitosheleza kwa hali na mali

    Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu, Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo...
  18. Yoda

    Itakuwa vigumu Prof. Janabi kupenya ushindani wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ila tutumie vigezo sahihi kumpima.

    Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
  19. M

    Itakuwa vigumu sana kupata tena kocha wa kuifunga Simba goli 5

    Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano. Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5). Nadhani kikosi kazi cha...
  20. Tman900

    Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

    Mwaka huu 2024 mwezi wa nne. Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka. Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana. Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku nilikua na mtumia pesa ya matumizi. Huyo dada alinieleza kua ana Watoto 3. Kwa kua nilimpenda...
Back
Top Bottom