vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  2. ChoiceVariable

    Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

    Sasa usipowapenda ndugu zako na kujifanya unawapenda ndugu wa wengine ni unafiki na sala isiyokuwa na baraka. Upendo huanza nyumbani.
  3. Red black

    Kwanini kumekuwa na vifo vingi vya vijana wadogo miaka 18-26?

    Wapi Gen Z wanakosea au ni nature tu imeamua, Kila nikichek ni RIP kwa vijana wadogo.
  4. S

    Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

    Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe. Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
  5. pulex

    Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

    Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo. Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda...
  6. A

    DOKEZO Vifo vya Ajali ya Boti (FIBER) Mafia vichunguzwe!

    INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
  7. Kubwjing

    Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

    Asalaam aleykhum.. Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao? Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu? Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani Au wanazikana 🤣?
  8. R

    Polisi kuanza uchunguzi vifo vinavyodaiwa kuhusisha Askari- Tarime, Arusha na Rufiji

    AARIFA KWA UMMA UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji. Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea...
  9. Msanii

    Ajali: Daladala lagonga kingo za barabara na kusababisha vifo

    Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na kusababisha kupinduka korongoni. Ajqli hiyo imetokea katikati ya Mikwambe na Kijichi jirani na kituo cha...
  10. Ritz

    Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  11. tpaul

    Vifo vya Magufuli na Ndugai vimetoa funzo kwa watanzania

    Neno la Mungu linasema kwamba ukimtendea mwenzako ubaya utalipwa hapa hapa duniani. Huu ni ukweli wa wazi na ambao huwezi kuukwepa kwa kuwa umefungamanishwa na neno la Mungu. Mwaka 2017 mheshimwa ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu alinusurika kuuawa na watu wasiojulikana mchana kweupe mbele ya...
  12. Miguel255

    Kwanini wananchi hufurahia vifo vya viongozi wao au watawala wao?

    Msiba wa binadamu ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha hata kama aliefariki humjui. Kwanini? Kwasababu binadamu tofauti na viumbe wengine tumepewa upeo wa kuona uzito wa kuondokewa na binadamu mwenzetu, imefikia hatua hata baadhi ya watu wakiona msiba unapita karibu yao basi husimama hii ni...
  13. funaku

    Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

    Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
  14. K

    PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  15. M

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  16. Genius Man

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  17. R

    PostGE2025 Wenje: Idadi ya vifo vinavyoripotiwa havijathibitishwa, tayari serikali imeweka mikakati ya uchunguzi na maridhiano

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya Kenya, TV47, amezungumzia kuhusu machafuko yaliyoikumba Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29...
  18. baz kaiza

    Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  19. Lord Denning

    Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  20. Huihui2

    PostGE2025 Tumetumia excessive force kusababisha vifo zaidi ya 800, je isingetumika excessive force madhara yangekuwaje?

    Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage. Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu? Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini...
Back
Top Bottom