vifaa

  1. R

    Msaada kwa anayejua duka la jumla la simu na vifaa confine vya electronics anitaarifu ninashida

    Msaada tafadhal
  2. YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

    Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube. Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika...
  3. N

    Yas Yakabidhi Msaada wa Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kaskazini, Ndugu Abdul Ally(kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Tanga (Bombo Hospital), Dkt. Frank Shega ikiwa ni dhamira ya Yas kuunga mkono juhudi za Serikali na Sekta ya Afya katika kufikisha huduma bora kwa...
  4. W

    Trump anadai kumiliki anga la Iran, kasema hakuna nchini yenye vifaa bora vya ulinzi kama Marekani

    Siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuwaonya raia wa Iran waliopo mji wa Tehran kuhama mara moja kuwa kutakuwa na mashambulizi yanayoweza kufanyika katika eneo hilo amedai kuwa ba udhibiti wa anga la Iran Kupitia mtandao wa Truth Social Trump ameandika kuwa “Marekani sasa...
  5. U

    Mamlaka ya usalama Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao

    Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
  6. Ukitaka kufanya project yako ya ujenzi kwa uimara nunua vifaa sisi tulipe labor charge +255624004650 call us

    We do design and build services Tunapatikana sinza call/whatsap +255624004650
  7. S

    Si ruhusa kuchoma moto simu yako, tv yako au vifaa vya kielektroniki hata kama vipo ndani mwako umevichoka au kuharibika

    Katika shughuli yangu ya ufundi umeme napenda kushiriki nanyi mambo machache kuhusu vifaa vya kieletroniki Hurusiwi kabisa kuchoma moto vifaa kama simu, tv, ving'amuzi, luku mbovu (meter & Sub meter) au kifaa chochote cha kietroniki kama takataka hata kama kitakuwa kimebenjuka na kubaki vipande...
  8. Vifaa vya Stationery Vinauzwa-Mikoani Tunatuma

    DESK ACCESSORIES Bulldog Clips Business Card Books Business Card Cutter Business Card Holder Business Card Rolex Calculators Dumping sponges Index Card Memo Cubes Paper Clip PAPER PRODUCTS Photocopy papers Photo Printing Papers Glossy Papers Manila sheet A1 OFFICE & SCHOOL STATIONERY...
  9. K

    Mbunge Kenya aiba vifaa vya simu

    Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
  10. G

    Nahitaji supplier wa vifaa vya Ujenzi na Hardware

    Habari wadau wa jukwaa hili. Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni. Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo (nimeweka Tsh 9mil ukiachana na gharama za kodi, shelves na matengenezo mengine madogo madogo)...
  11. NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  12. Keki na vitafunwa

    kwa mtu anaeanza biashar ya keki ni nini anatakiwa kufanya, naomba msaada tutani
  13. Masudi anatumia nn kuchora zile katuni ? Ni vifaa vya kidigital au karatas na pen!?

    Technologist njooni mtoe majibu nilivutiwa sana na uchoraji wake
  14. Mwenye kuelewa ina maana hii kesi ya lissu na polisi wamepata vifaa vyipya.

    Hapa kisutu mpaka askari magereza wamependeza kwa nguo mpya utazani sikukuu ya idd na xmass ilivyo.
  15. Vifaa vya kijasusi vya aliyekuwa Jasusi Eli Cohen vyapatikana huko Syria!!!

    Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita. Vitu hivyo ni pamoja na: • Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake...
  16. Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
  17. Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
  18. Mliofanya biashara ya vifaa vya umeme ? Nipeni DO na DONT za hii biashara

    Najua wengi mmeshafanya hii biashara. Nipeni masharti Nipeni faida Nipeni basara za hii biashara
  19. Nipeni business plan ya biashara ya vifaa vya umeme??

    BEI Za Vifaaa na Faida yake katika kila kigaa
  20. Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…