vifaa vya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rafiki Electrical Solutio

    VIFAA VYA UMEME TANZANIA

    Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako? 💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡 ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA! Kutoka Kampuni zote...
  2. N

    Wanaofanya kazi ya usambazaji mashine, vifaa vya umeme haswa unaotumika migodini naomba mawasiliano

    Nahitaji masiliano ya ukaribu na wauzaji na wasambazaji wa vifaa vinavyo uzwa mgodini, bila kujali mahali walipo
  3. Tuo Tuo

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
  4. Tuo Tuo

    Mliofanya biashara ya vifaa vya umeme ? Nipeni DO na DONT za hii biashara

    Najua wengi mmeshafanya hii biashara. Nipeni masharti Nipeni faida Nipeni basara za hii biashara
  5. Technophilic Pool

    Nipeni business plan ya biashara ya vifaa vya umeme??

    BEI Za Vifaaa na Faida yake katika kila kigaa
  6. mossTV

    FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME

    BWANA FUNDI NIPO HAPA.. KAMA TV YAKO INA CHANGAMOTO YOYOTE INATIBIKA BILA SHIDA NA TUNAFANYA MPAKA HOME SERVICE PIA.. KAMA SHIDA NI MOTHERBOARD TCON POWER SUPPLY BACKLIGHT KIO0 SHIDA YOYOTE TV IMEZIMA GHAFLA TUNAWASHA, SAUTI, MWANGA NA MATATIZO YOTE WE PIGA SIM 0744680670 0618199522 TUNAKUFIKIA...
  7. Top007

    Tunauza Vifaa Vya Umeme Kwa Gharama Nafuu

    .
  8. Planet Data bundles

    Budget yangu ya kuanzisha duka la vifaa vya umeme. Prove me wrong

    hii ndo budget ya manunuzi 1. Switch 3 2. Bulb 3 3. Cable 2 4. wire m20 5. Holders 5 6. Tester 3 Kimepelea nini kwa mtaji wa lak 1
  9. Baba Mtakatifu

    Chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Kariakoo

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba connection ya chimbo la vifaa vya umeme kwa bei ya jumla kariakoo. Nataka kufungua duka huku mkoani. Shukrani
  10. D

    Fundi vifaa vya umeme Mwanza

    Wakazi wa Mwanza tumefikishika huduma ya ufundi wa vifaa vya umeme kama TV, Redio n.k. 0780527652 Tunafika ulipo
  11. T

    Nauza mahitaji mbalimbali ya nyumbani

    Habari zenu maboss. Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table. vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k 🧳🛍️🛒 .Dar maeneo ya...
  12. R

    Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  13. MrWings

    Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

    Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme. Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji). Kwa anaye jua A to Z juu...
  14. Lomy_5

    Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

    Habari za majukumu waheshimiwa👋 naamini mko salama... Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/= Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi. 1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
  15. mossTV

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    TV yako haiwaki? TV yako inajizima? TV yako unasikia sauti huoni picha? TV yako inawaka nusu hazijazi kioo? TV yako imeingia giza upande mmoja? TV yako imeua taa? TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu? TV yako inawaka taa nyekundu tu? TV yako haina sauti? TV yako inaonyesha mistali? TV...
  16. Mayova

    Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

    Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
  17. Z

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  18. Mayova

    Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  19. Ilitara kimura

    Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  20. N

    Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
Back
Top Bottom