vifaa vya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
  3. nover

    JamiiForums Tanzania Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

    Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
  4. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Tanzania VIFAA VYA UMEME VINAHITAJIKA

    Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa. Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo. 1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic 2.Battery - Energizer 9vRL 3.Battery charger( Energizer 9V) 4. Ganish hole-6mmx200mm. Mwenye kufAhamu wapi nawza kuvipata au hata anipe Bei Vin...
  5. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mtaji unaotosha kufungua duka la vifaa vya umeme

    Habari, naitwa Ephraim nikijana mdogo nimetoka VETA miaka miwili nyuma natamani nifanye biashara ya kuuza VIFAA VYA umeme Maana ndio taaluma niliyosoma kwa ngazi ya cheti Na level III. Pia Ni fundi mzuri naweza kufunga wiring ya nyumba vizuri from the scratch mpaka finishing. Changamoto...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Duka la vifaa vya umeme na Plumbing

    Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto za hii biashara.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Vifaa vya umeme

    Kwa matatizo yote ya TV, ( iwe imezima ghafla, imeungua taa, kioo haikionyeshi, picha ina vibrate, inaonyesha nusu n. K) karibu, tukudumie kwa gharama nafuu, kwa wakazi wa dar popote tunakufikia, pia tunatengeneza, subwoofer, radio, home theater na vifaa vingine vya umeme. Call/sms/whatsapp...
  8. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

    Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n.k. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko la bidhaa za electronics hasa zile za IT ambazo zinafanya vizuri katika soko la Tanzania na...
Back
Top Bottom