Habari,
Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea vizuri au kula
Sijawahi kutumia dawa yoyote na hutokea wakati wowote, msaada kwa anayejua tatizo hili.
Habari waungwana,
Nasumbuliwa na vidonda vibich kwenye ngozi ya pumbu huwa vnatokea na kupotea vyenyewe baada ya mwez vnatokea tena kama lengelenge vile lililopasuka nahc n ugonjwa wa znaa msaad kwa waliowai ugua ugonjwa huu na wameponea dawa gani?
Ushaur tafadhali?
WATER THERAPY
Faida zake; Utaondokana na changamoto zifuatazo:
1. Uzito usiotakiwa
2. uchovu kwa wakati usiostahili
3. kutopata usingizi kwa wakati muafaka wa kulala
4. Maumivu sugu ya Tumbo, Kichwa, viungo nk
5. kupunguza Tumbo/ Kitambi
6. Cancer, Kisukari, asthma, Shinikizo la damu( la juu...
Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko...
Walimu wenzangu, tujipongeze kwa kuelimisha Taifa leo tunaposherehekea Siku ya Walimu.
Ndugu zangu, tuko na madonda mengi, mengi yakihusiana na Serikali yetu. Nani hajui kuhusu madeni tunayodai? Nani anajiweka nje ya ukweli kwamba sisis ni miongoni mwa wafanyakazi wa Tiafa hili ambao kwa miaka...
Kichwa kinajiekeza.
Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia raha, nikajua ni kawaida tu, then next three days nikawa napata kama michubuko kwenye kichwa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.