The Claim
A viral video circulating on X, TikTok, and WhatsApp allegedly shows Gen. Moses Ali delivering a speech during his swearing-in ceremony as Member of Parliament for Adjumani West on May 13, 2026.
The post on X by nasser_Ug1 carried the caption:
“The Lion of Adjumani, Gen. Moses Ali...
21-gun salute as Yoweri Museveni, Uganda’s newly sworn-in president, took two oaths on Tuesday, marking the beginning of a new five-year term that would extend his rule to nearly half a century.
He took the oath at about 11:50am and received instruments of power within around six minutes...
Followers of the Faith of Unity at Kololo Ceremonial Grounds enthusiastically welcomed their spiritual leader, Omukama Ruhanga Owobusobozi Bisaka, ahead of the swearing-in ceremony of Yoweri Kaguta Museveni.
Dressed in white robes and chanting songs of praise, the followers created a spectacle...
Rais Museveni mwenye umri wa miaka 81 leo Mei 12, 2026 ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Uganda kwa muhula wa 2026 hadi 2031. Hafla hiyo ya uapisho imefanyika katika uwanja wa Kololo ambapo pia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe hiyo ya uapisho
Katika...
Hello Family JF Family members! It's been a while, kwa wale wanaonifahamu humu nimekuwa member toka 2023 nadhani, kipindi bado najitafuta mimi ni nani na hadi leo hii nipo katika hatua nzuri namshukuru Mungu.
Kwa sasa kulingana na maisha niliyoamua kuishi natambulika sana kama Videographer...
..Hadi wakamtuma chawa mbobevu Kitenge kwenda kupiga promo kua South Africa ni salama anaetaka na aje.
Sasa nimekaaa hapa na Mwashamu Askofu tunaangalia habari za duniani naona vurugu zimekolea, foreigners wanapigwa, Mozambique, Nigeria, na nchi nyingine wananchi wanaomba kurudi makwao mana...
Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi."
Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video.
Kwa msanii...
A video clip circulating on different social media platforms including X and TikTok shows Hon. Robert Kyagulanyi aka Bobi wine together with his wife claiming to have returned to Uganda at Entebbe Airport.
The video is however misleading as it does not stem from 2026, It was recorded way back...
I think kama hii kitu iko on the rise basi ni muda wa kurudi nyumbani. Like seriously how can you live with these people 🥷
Watu wavivu, masikini wasiopenda kufanya kazi, wanasingizia matatizo yao yote kwa foreigners
Huwezi kukuta Msouth Africa aliyefanikiwa kimaisha akifanya huu ujinga. It's...
The Chairman of the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC), Ola Olukoyede, has revealed that the agency investigated Jerry Eze, founder and lead pastor of Streams of Joy International, for six months.
Mr Olukoyede, who spoke on Wednesday at the Jerry Eze Foundation Business Grant Award...
Mambo yanazidi kuwa moto mtandaoni baada ya Directorate of Criminal Investigations (DCI) kumkamata mshukiwa anayehusishwa na video iliyosambaa sana kwa madai ya hate speech.
Kwa mujibu wa DCI, mshukiwa huyo alikamatwa baada ya detectives kufanya review ya hiyo video na kubaini kuwa ilikuwa na...
Mapenzi yana wenyewe na wenyewe ni wapendanao. Ndivyo unavyoweza kusema. Waweza kuwafitini wapendanao au wakakuletea kesi ukawa biased kwenye usuluhishi, lakini elewa kwamba mwisho wa siku wenye ufunguo wa uhusiano ni wapendanao wenyewe. Kumuambia binti yako kuwa ukoo fulani ni wachawi usikubali...
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja.
Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
Concerned citizens in the Ankole sub-region have called on Members of Parliament to reject the proposed Protection of Sovereignty Bill, warning that it could have far reaching economic and social consequences.
The call was made during a “Bin That Bill” protest where participants comprising...
A resident of Mbarara City has accused a police officer attached to Katete Police Post of subjecting him to torture during interrogation over a motor vehicle theft case.
Junior Musa, a resident of Katete Central, claims he was physically assaulted by a junior officer who allegedly beat him for...
Authorities in Lira City have banned holiday lessons and ordered an adjustment of nursery school hours, citing growing concerns over the mental health and well-being of young learners.
The directive was announced on Tuesday by the City Education Officer, Jane Obeny, following a stakeholders’...
Mtu kaumbuka huku Hadi akalazimika kujitetea hadharani Ili Mke wake asiliamshe timbwili 😂😂😂😂👇👇
https://www.threads.com/@radiomaarifatz/post/DXKlIPljjqq?xmt=AQF0S1U-gBF5xxJ8wC0Ju0Or1znu4YiRDB5E_9pbsApAIoQokX9KopbCuzwusbMZynTJaZxd&slof=1
My Take
Mambo binafsi ya kifamilia hayapaswi kuongelewa...
Wakuu nimekutana na hii video inadaiwa kuwa ni kifaa cha Artemiss II kikisindikizwa na msafara baada ya kutua kutoka mwezini. Uhalisia wake ni upi?
===
Witnessing history Artemis II Orion capsule escorted in a powerful convoy—America’s journey back to the Moon