video

  1. JamiiForums Tanzania Video kwenye mabasi na maadili/mabusu/nusu uchi

    Tabia ya kuweka picha za video katika mabasi wakati wa safari hukusudia kupunguza uchovu wa safari. Katika basi kuna watu wa dini, umri, rika na kabila tofauti. Aidha inaweza kutokea kukawa na mtu anasafiri na wakwe zake ama viongozi wa kidini. Kumbe video zinazowekwa ni muhimu kuzingatia...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

    Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam. kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza, hata wazungu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

    CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican. Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wabunge waandamana kupinga Bajeti ya Tsh. Milioni 220.6 kununua mavazi ya Rais Museveni

    Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Kwenye bajeti iliyopendekezwa kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, jumla ya Tsh. Bilioni 150.6 sawa...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga ilivyompiga USM Algiers 2-1 mwaka 2018 CAFCC, goli la Makambo na Kaseke

    Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kuweka video ya mpaka masaa mawili Twitter

    Mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa taarifa kwa watumiaji wa mtandao huo kuwa, watumiaji waliothibitishwa na alama ya Twitter Blue (Twitter Blue Verified subscribers) sasa wanaweza kupakia video za saa 2 (8GB).
  7. JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  8. JamiiForums Tanzania Je, Sospeter Bajana kasinya Simba? Angalia video hii

    Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe:
  9. JamiiForums Tanzania Meli ya Titanic: Mwonekano wa Video ya kwanza ya 3D tangu kuzama kwake

    Ajali hiyo maarufu zaidi ya Meli duniani imewekwa wazi na kueleza kuwa haijawahi kuonekana hapo awali. Uchanganuzi wa kwanza wa kidijitali wa ukubwa kamili wa Meli ya Titanic, ambao uko mita 3,800 (futi 12,500) chini ya Bahari ya Atlantic, umeundwa kwa kutumia ramani ya kina kirefu cha bahari...
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO HII IMENISIKITISHA SANA , IPO YOUTUBE JUST FLOW THERE as titled..., NA SIO PROPAGANDA

    Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad Just look his face , his face looks like your father sema , rangi tuuu
  11. JamiiForums Tanzania Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  12. JamiiForums Tanzania Video: mapinduzi ya unguja

  13. JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi wa Wagner asema Warusi wamekua kama vinyago, kutishia tishia nyuklia

    Aikosoa serikali kutishia tishia matumizi ya nyuklia kwenye kila shambulizi wanalopokea la drones, asema wamekua kama vinyago "clowns".... Hehehe huyu jamaa akiendelea hivi Putin atamla, japo hawezi maana Putin anatumia watu wake kama mizoga kule Ukraine. ===================== "We look like...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Ni ngumu kuitenga CCM na Vituo vya Radio na TV

    CCM inapendwa na kila mtu. Watangazaji , waandishi, wasa nii n.k Angalia hii video nambie nani haimbi?
  15. JamiiForums Tanzania Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

    Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
  16. JamiiForums Tanzania Msijifanye hamjaiona video hii ya Nabii Tito

  17. JamiiForums Tanzania Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  18. JamiiForums Tanzania Video: Shekh Yusuf Diwani akiuchambua uongo wa Askofu gwajima

    Thread was deleted
  19. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Emaciated Rutto needs a rest from routine duties

    This weight loss is unprecedented, you might confuse Rutto with Mackenzie cult members who were starving in Shakaloa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…