video

  1. Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  2. Je, Sospeter Bajana kasinya Simba? Angalia video hii

    Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe:
  3. Meli ya Titanic: Mwonekano wa Video ya kwanza ya 3D tangu kuzama kwake

    Ajali hiyo maarufu zaidi ya Meli duniani imewekwa wazi na kueleza kuwa haijawahi kuonekana hapo awali. Uchanganuzi wa kwanza wa kidijitali wa ukubwa kamili wa Meli ya Titanic, ambao uko mita 3,800 (futi 12,500) chini ya Bahari ya Atlantic, umeundwa kwa kutumia ramani ya kina kirefu cha bahari...
  4. VIDEO HII IMENISIKITISHA SANA , IPO YOUTUBE JUST FLOW THERE as titled..., NA SIO PROPAGANDA

    Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad Just look his face , his face looks like your father sema , rangi tuuu
  5. Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  6. Video: mapinduzi ya unguja

  7. Video: Kiongozi wa Wagner asema Warusi wamekua kama vinyago, kutishia tishia nyuklia

    Aikosoa serikali kutishia tishia matumizi ya nyuklia kwenye kila shambulizi wanalopokea la drones, asema wamekua kama vinyago "clowns".... Hehehe huyu jamaa akiendelea hivi Putin atamla, japo hawezi maana Putin anatumia watu wake kama mizoga kule Ukraine. ===================== "We look like...
  8. Video: Ni ngumu kuitenga CCM na Vituo vya Radio na TV

    CCM inapendwa na kila mtu. Watangazaji , waandishi, wasa nii n.k Angalia hii video nambie nani haimbi?
  9. Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

    Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
  10. Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  11. M

    Video: Shekh Yusuf Diwani akiuchambua uongo wa Askofu gwajima

    Thread was deleted
  12. M

    Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  13. Video: Emaciated Rutto needs a rest from routine duties

    This weight loss is unprecedented, you might confuse Rutto with Mackenzie cult members who were starving in Shakaloa.
  14. Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

  15. Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  16. Nimependa ubunifu wa video hii na uhalisia wa wasanii hawa.. 100%

    Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits...
  17. Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

    Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
  18. Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe. Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila...
  19. Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

    Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo. Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai. Chanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…