video

  1. G

    JamiiForums Tanzania Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msamimamizi wa 'DayCare' akamatwa kwa kutumia Watoto kutengeneza video za ngono

    Mwendeshaji wa kituo cha kulelea watoto Kiambu afikishwa mahakamani kwa kutumia watoto kutengeneza video za ngono Mwanamke anayesimamia kituo cha kulelea watoto katika Soko la Wangige, Kaunti ya Kiambu, amekamatwa kwa tuhuma za kuwadhulumu kingono watoto wadogo. Kulingana na nyaraka za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

    https://www.youtube.com/watch?v=O1isnJKJtVQ&ab_channel=Bobby%27sPerspective
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

    Wanaukumbi. ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo. Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV. Mvutano unaongezeka huku...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Alikiba: niliacha kufanya videos sababu ya watu kutuma robot youTube

    Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Al jazeera huwa hawaoneshi video za Walestina wanaopinga Hamas?

    Wakuu ni nadra sana kuona hizi video mtandaoni hasa kwene media za al jazeera! Hawa raia wanawatukana Hamas kwamba wamefanya maamuzi ya kijinga ndio yanawaua https://youtu.be/5JJK0X7D82w?si=BsTgKOsUjPAt__gz
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Video: Lema ampa somo Rais Samia kufuatia hotuba yake

    Msikilize hapa: https://www.youtube.com/watch?v=HdbNNTiNp_Q&pp=ygUNZ29kYmxlc3MgbGVtYQ%3D%3D
  9. JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode II): Unajua kuset mwanga vizuri unavyorecord video za ndani?

    Baada ya kuchagua camera kwa matumizi na budget yako (episode I), sasa tuanze kurecord. Tuta-assume accessories chache sana tunazihitaji kutokana na budget yetu. Tufanye sisi ni content creator tunaoongelea mambo ya mapishi. Sasa tuanze kuset mazingira yetu ya kurecord. Tutaweka story katika...
  10. JamiiForums Tanzania Video ya mkali wa pop the weeknd yarekodiwa na iphone 16 pro

    https://youtu.be/fE6XAeZfAsk?si=UclWa-JqLqNMimLJ https://youtu.be/MLlSSJ0z7xM?si=cmUet6D4DYIAqhvU Je wajua video hii ya wimbo wa dancing in the flames kutoka kwa mkali wa pop kutoka Canada the Weeknd imekuwa shot on the iPhone 16 pro embu zitazame video hizo kalii sana
  11. JamiiForums Tanzania Tyla awaburuza Chris Brown, Burna Boy na Usher tuzo za MTV Video Music Awards 2024

    Mwaka huu umeweka alama nyingine muhimu kwa muziki wa Afrika baada ya Tyla kushinda tuzo ya "Best Afrobeats" kupitia wimbo wake maarufu "Water." Tyla, wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha Best Afrobeats katika tuzo za MTV Video Music Awards (VMAs) za mwaka 2024 na kuwabwaga...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Tundu Lissu akizomewa kwenye Mkutano Septemba 11, 2024

    Nimeona video ikisambaa toka jana ikimuonesha Tundu Lissu akiwa anazomewa na watu waliokuwepo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana tarehe 11/09/2024 wakimzomea na kumuita YUDA je ni cha kweli?
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna hata mtu mmoja aliyeweza kurekodi video clip ya mtu akitekwa ?

    Inawazekenaje watu wanaweza kurekodi kwa siri video clip za dungadunga kwenye dalalala na mwendokasi ila walishindwa kabisa kurekodi video ya Ali Kibao akichukuliwa mateka na wasiojulikana katika bus lenye abiria zaidi ya 40?! Ni kweli mpaka sasa hakuna hata raia mwema mmoja aliyefanikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  15. M

    JamiiForums Tanzania Video: The killer bus is on the move.

  16. JamiiForums Tanzania Video: Msikilize Sheikh Saleh Zagar

  17. JamiiForums Tanzania TBT: Video Sheikh Saleh Zagar: Kunadi Swala asubuhi ni unafiki anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi

    Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
  18. JamiiForums Tanzania Nini kimempata dada aliyeshambuliwa na nyuki? Alipona?

    Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi. Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?
  19. JamiiForums Tanzania Tazama magoli katika video hizi mbili kisha eleza umegundua nini?

    Ukitazama kwa makini utagundua hawakukosea kumuita 'Think tank'
  20. JamiiForums Tanzania Video: Yanayoendelea huko CCM

    Haya hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…