video

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

    Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
  2. JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tazameni hii Video wakuu: Gen Z Mbeya wanasherekea kumzika mwenzao , kwa Afrika Waasi ni Wazalendo waloamua pigania Haki zao

    Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo. Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo . Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
  4. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia si muuaji, ni baadhi diaspora wa Tanganyika waishio Ulaya

    https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/ kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja. Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Larry Madowo: Nimetumiwa mamia ya video, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya Uchaguzi wa Tanzania

    "Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Yaliyofanyika si maandamano ni uharibifu, jaribio la mapinduzi ni tafsiri ya UGAIDI

    Wakuu nimekutana na andiko hili... Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑 Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

    Oktoba 2025 haitafutika kwenye historia ya Tanzania
  8. JamiiForums Tanzania Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29

    Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29 Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano na Vifo Uchaguzi 2025: Polisi waonya kuhusu kusambaza “Picha na Video zenye kuleta taharuki”

    Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi. Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

    Nani mwingine amepata hii SMS ???
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Samia aibuka, akabithiwa cheti cha ushindi. Huyu mtu anatudharau sana Watanganyika

    Baada ya kuwa mafichoni, hatimae karejea kwa kificho ili akabithiwe cheti cha ushindi aliopora kwa mtutu wa bunduki. Habari mbalimbali zinatabaruku kuwa ataapishwa haraka haraka then arudi mafichoni mpaka hali ya sintofahamu itakapotulia. Je, Watanganyika tumekubaliana na huu uhaini...
  12. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Al-Jazeera yaungana na Watanzania kupaza vilio vyao ulimwenguni

  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Video: Wapiganaji wa RSF walivyotekeleza mauaji mji wa Al Fasher Sudan

    Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26 SF
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nipo naangalia clips za mzee Mwandambo huku nikitengeneza database (Kanzu Data), panapo majaliwa nikimaliza video zake nitaweka faili humu.

    Mzee kajua kuufunga mwaka
  16. JamiiForums Tanzania Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

    Video inayodaiwa kuwa imefanya Niffer akamatwe na Jeshi La Polisi
  17. JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Katuga tangu alivyodanganya mahakama eti video ilichezwa Kisutu akapotea jumla

    Tusiwe wepesi wa kusahau, maana yale yalikuwa ni mauaji makubwa
  19. JamiiForums Tanzania Video: Mama huyu apigwa hadharani baada ya kugombania eneo la biashara na kudaiwa alipe fidia

    Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu. Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…