Hii haina comeback wala reverse! Mkiweza simamisheni sass hizi project za kupoteza, kuua kutesa na kudhalilisha watu.. Huku wengine mkiwabambikia kesi zisizo na dhamana
Vijana na watu wema na makini kama kina Mzee Kibao, Kiswahili, Kipanya, Soka, Mdude na mamia wengine huwezi kuwafananisha na...