vibali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  2. BASATA: Ma-DJ na MC wasio na kibali kutozwa faini hadi Tsh. 3 Milioni au Kufungiwa

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini. BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
  3. BASATA na Vibali: Uongozi wa Ada Kwanza, Huduma Baadaye

    Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na MaDJ wote kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026 imepokelewa kwa mshangao mkubwa na...
  4. LATRA kutoa vibali 150 kwa Daladala njia ya Kimara

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) itatoa vibali kwa daladala kwa njia ya Kimara ili kusaidia usafiri kutoka eneo hilo, awali abiria wa eneo hilo walitegemea usafiri kutoka kwenye mabasi yaendayo haraka maarufu Mwendokasi.
  5. Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  6. M

    Ni vibali gani nahitaji kuwa navyo ili kuwa na kampuni ya fumigation majumbani na maofisini

    Habari wadau. Kuna mahali nimeona hii fursa kwa hiyo ningependa kujua vibali vinavyohitajika na vifaa vinakopatikana
  7. A

    KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  8. ICC yatoa vibali vya kukamatwa kwa viongozi wa Taliban kwa kuwatesa wanawake na wasichana

    Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa viongozi wawili wakuu wa kundi la Taliban, ikiwatuhumu kuwatesa wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Mahakama hiyo yenye makao yake mjini The Hague ilisema kuna "sababu za kutosha" kuamini kuwa Kiongozi Mkuu...
  9. K

    DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  10. S

    VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
  11. Vibali vipi vinahitajika ili kufungua biashara?

    Habari, wana-JF naomba kueleweshwa kuhusu vibali vinavyohitajika kabla sijafungua biashara mpya, maana kuna kauli za kisiasa na sheria zilizopo vinanichanganya. Ikumbukwe, mwaka 2023 ilitoka kauli kutoka kwenye serikali ya Samia kuwa wafanya-biashara wapya watapewa muda kufanya biashara kwa...
  12. Serikali iongeze ada ya vibali vya kujenga mahoteli kwenye mbuga zetu

    Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
  13. Raman ya kuombea vibali vya ujenzi lazima iwe na sifa hizi

    Soma kwenye picha hapo Ukitaka tukuchoree raman ya nyumba 0743257669 au nichek whatsapp au piga sim
  14. Ipo haja ya dhati kabisa uchangishawaji wa fedha unaoshirikisha umma, ukawa unaombewa vibali maalum.

    Hili litasaidia taasisi ya mamlaka ya kutoa kibali hicho kujiridhisha na malengo mazima na dhamira ya uchangishawaji wa fedha hizo ili kuepusha zisije kutumbukia mikononi mwa wahalifu ambao watapelekea kukosesha amani ya Taifa letu, Pia ni hekima michango hii ikawa inakatwa kodi fulani fulani...
  15. Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, ndani ya miezi miwili kafanikisha kumpatia Sativa vibali vya kuishi Ubelgiji.

    Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi. Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi...
  16. Vibali vya ujenzi

    Utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi ukoje ?
  17. Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  18. Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

    Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria. Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
  19. Naomba kuuliza ni vibali vingapi vinahitajika kuanza ujenzi wa nyumba

    Wataalamu naomba mnisaidie kunijuza kuhusu vibali vya ujenzi, binafsi nina kibali cha serikali za mitaa ila kuna mtendaji alikuja site akaanza kufokafoka nikamwambia kibali ninacho, sasa baada ya kumwambia kibali ninacho akaanza kuuliza vibali vya mkurugenzi mara engineer wa wilaya, aisee...
  20. TFF mnalitufanyia utapeli wa VAR wapenzi wa soka mnasingizia vibali wakati huko Mauritania VAR imeanza kutumika

    Wakuu, Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA. Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha ================== UPDATES Tumepigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…