Kwanza nianze kwa kumuombea dua kwa mwenyezi Mungu Rais wetu mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, Mungu amlinde na kumpatia maisha marefu yenye furaha hapa Duniani.
Sijui mzee wetu Kikwete uliwezaje, maana ajira za kumwaga ulizokuwa ukitoa miaka 6 kurudi nyuma kwa kaka na Dada zetu leo kwa namna moja...