Kumekucha ,Leo nakuja na mtazamo wa kuwashindanisha hawa wadada wawili wasanii wa nyimbo na kutaka kujua yupi mi bora katika tasnia ya uimbaji Nandy na Vanessa Mdee.
Niende moja kwa mmoja kwenye mtazamo wangu naona Vanessa ni bora zaidi kuliko Nandy,, ukiangalia kwenye sauti ,uchezaji...