uzushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufedhuli wa uzushi; sasa wanapingana wenyewe kwa wenyewe

    Anayejiita she he Mwaipopo anatoa tuhuma nzito kwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA kamanda John Heche kapewa pesa tasilimu na mfanyabiashara kada wa ccm kiasi cha dola laki 2 kamaTsh 520,000,000 hivi Kajitokeza Nilesh kakana na kutoa tuhuma kwamba kuna watu walimuomba hela akagoma kuwapa hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Haya maneno yamesemwa kweli?au ni uzushi?

    "Chokochoko ya nini sahivi tunaliponya taifa acheni maneno ya kukatisha tamaa yaliyopita yamepita tutafute amani swala la Polisi kuua ni kawaida kikatiba we sahivi mrushie polisi jiwe uone kama hatakushambulia maana katiba yetu ndo inavyosema" 🗣️Thabit Kombo akiongea bungeni kuhusu mauaji ya...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwenye ukweli uongo hujitenga!, Baada ya idadi ya Vifo 518 kutolewa; Je, tuwashitaki wazushi waliotuchafua kwa Uzushi wa Maelfu ya Vifo?

    Wanabodi Moja ya jambo kubwa lililokuwa linasubiriwa sana na kwa hamu kubwa na watu wengi kwenye Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, kubwa la kwanza ni idadi ya vifo vilivyotokea kwenye vurugu hizo za October 29, 2025 na la pili kubwa ni who ordered the killings?. Ripoti imetoa tuu idadi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi, Kumbe Story ya Kuoa Binti wa IGP Saidi Mwema ni Uzushi wa Uongo! . JF Tuacheni Uongo na Uzushi!, Unatuharibia!

    Wanabodi Niko kwenye ibada ya mazishi ya msiba wa jirani yangu mmoja, katika Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma (BMMH), Mbezi Beach, Dar es Salaam ambapo nimekutana Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi ambaye pia ni mmoja wa waombolezaji...
  7. JamiiForums Tanzania Kizembe kabisa Kuna watu wanaenda kuozea magerezan kwa uzushi wa kuibiwa nyeti baada ya kusababisha vifo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa parokia ya st Joseph huwa nawasisitizia vijana wenzangu kuwa uchawi haulipi na imani za kishirikina siyo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kujikutaga mna akili na hamuendeshwi kwa hisia, imekuaje mmekamatika kirahisi kwenye uzushi wa kuibiwa nyeti?

    Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge? Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi wale vijana wa CHADEMA waliofanywa mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuhifadhiwa nchi jirani bado wapo?

    Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha? Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji wametimiziwa? Umaskini wa kifikra na unyonge wa kiuchumi unaweza kupelekea vijana wengi wa chadema kufanywa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati kuweni makini sana na Tanzania leaks wa mtandao wa X kwani taarifa zake nyingi ni uzushi na anawapotezea credibility

    Kwa mtumiaji yoyote wa mtandao wa X na ambae anafuatilia taarifa za mtu anaeonekana kuwa ni mwanaharakati katika mtandao wa X anaetumia jina la "Tanzania leaks"atakubaliana namu kuwa huyu mtu taarifa zake nyingi huwa ni za uzushi. Ni bahati mbaya sana wanaharakati na wanasiasa makini, hu-...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

    Jioni ya tarehe 29. 10. 2025 Bali ilikuwa mbaya sana kwenye miji mingi mikuu Tanganyika.. Maandamano yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu yalikuwa yamepamba moto Mawasiliano yalikuwa ya shida kwakuwa mitandao ilikuwa imezimwa na mamlaka zikakosa kujua athari za ueneaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Nimekuwa traumatized, vp kwa upande wako?

    Wish u the best guys🕊️🕊️
  15. JamiiForums Tanzania Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

    Wadau naombeni mnijuze maana siamini kama hiki kitu kipo nasikia tu stori kwa watu sijawahi kuthibitisha he ni kweli au ni stori tu?
  16. I

    JamiiForums Tanzania Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hivi haya tunayoyasikia kuhusu Arusha ni kweli au uzushi?!!! Inashangaza na kutisha

    Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka picha ya mbingu akilini pale Arusha ikitajwa. Nikiri, mpaka nikiwa mkubwa hivi, Kuna picha njema...
  18. JamiiForums Tanzania Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi. Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
  20. JamiiForums Tanzania TFF kujiuzulu kwa Wallace Karia ni taarifa za uwongo

    Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…