Nanukui
"Oya kaka kuna demu nimempata hapa chapu naomba funguo niende nae gheto kwako nikapige chapu"
Nikazima simu kabisa
Baadae analeta makasiriko
Yani ukamwage shahawa zako na Malaya wako sehemu yangu ya kulala??
Huu upumbavu siwezi kufanya jaman au makosa?
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.
Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima
Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
1. SLEEPOVER
Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l.
2. ONE NIGHT STAND
Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile.
3...
Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni.
Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya moyo wa mtu. Katika Mathayo 5:28 anasema hivi:
"Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa...
Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁
Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...
Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si rahisi kuviona kwa macho ya kawaida, lakini vina uzito mkubwa sana katika maisha ya kiroho na kimwili...
Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini?
Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
Nilidhani wanawake wana harufu ya kisamaki tu,nilichokutana nacho mwaka huu,naapa kuacha uzinzi.
Harufu ya yai viza baada ya kuvua nguo ya ndani.kumenifanya niokoke na kuchukia wanawake
wanene
Nilijikuta natapika katikati ya tukio.nikasingizia nina malaria.
Cha ajabu ni mke wa mtu.hakika...
Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu.
Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama wanazikataa tokana na matatizo yao fichi, ni haki yao.
Lakini wasilazimishe wengine. Nami hapa silazimishi...
Kama ilivyokuwa kwa "Mwijaku wa zamani" aliwacheka wazinzi wenzake waliomtangulia kubumbuluka kwenye skendo ya uzinzi. Ndivyo ilivyo hata sasa kuna wazinzi wengine wanamcheka "Mwijaku wa sasa" kufanya uzinzi.
Kila mwizi ana siku yake ya arobaini. Hizo arobaini hazihesabiwi kama ulivyofundishwa...
Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio.
Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule.
Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka.
Alienda kutrend views...
WANADAMU HAWATA SAHAU JUU YA DHAMBI YAKO YA UZINZI🔥🔥
Mungu husamehe dhambi zote ikiwemo dhambi ya uzinzi au zinaa.
Ikiwa wewe unasema umeokoka ukizini na mke au mume wa mtu au na yeyote;jambo hilo likibainika kwenye jamii yako,basi wanadamu hawatakaa wasahau hilo tukio.Hata kama umeacha na...
Wengi tulikuwa hatufahamu wale wasichana wadogo wanaotaniwa na babu zao kwa jina la "mke wangu" au "Mchumba" alafu baadae siku akija kumuoa kuna fedha huwa zinatolewa kwamba ni kumwachanisha mtu na mkewe, yaani babu kumwachanisha na mjukuu wake wa kike, usifikiri ule ni utani sio utani.
Babu...
Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako
Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU pambana na roho ya uzinzi
Watu wengi sana walikuwa matajiri wakajifanya wajanja Leo ni masikini...
Wakati inaanza ilianza kwa maudhui mazur sana na yenye maadili
Watu tukaipenda zaidi kwakuwa ndio platfom inayoweza kukuingizia hela kwa urahisi ukilinganisha na platfom zingine za online kama vile Youtube n.k
Ila sasa hivi imekua ya kishenzi sanaaaa...hauwezi kuingia tiktok bila kuvaa...
Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka
Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.