Ndugu zangu..
Uzi huu ni maalumu kwaajili ya kuelezea kero unazokumbana nazo kutoka kwa watoto waliozaliwa mwaka 2000 na kuendelea ,pia unatoa fursa ya kuweka maoni yako ni nini hasa kifanyike kuokoa kizazi hiki maarufu kama kizazi cha buku mbili ili kirudi kwenye maadili sahihi ukizingatia...
Habari
Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
Mzuka wana Jamvi ?
Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
Maisha hayana formula kabisa
Hivi nani alitegemea eti siku moja Ousmane Dembélé au Lamine Yamal anaweza kutangulia kunyanyua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kabla ya Mbappé
Msimu huu ni mchuano mkali kati ya janja machachari Lamine Yamal na Ousmane Dembélé
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ...
Moja ya ndoto ya mwanadamu ni kuishi maisha mazuri yenye mafanikio amani pia
Pia sehemu ya kuishi au mkoa ni Moja ya ndoto ya watu wengi kutokana na fursa za eneo Hilo ikiwemo Bata nyingi, hali ya maisha, huduma nzuri za JAMII nk
Tuandukie APO CHINI KWENYE COMMENT SECTION unapenda ungeishi...
Huu uzi unakutanisha wahitimu wa vyuo mbalimballi kujadili masuala tofauti kuhusu taaluma, ajira na kujiajiri.
Njooni tupeane michongo, mawazo na ushauri kuhusu maisha baada ya kumaliza chuo
Toa experience
Toa maoni
Toa mawazo yoyote kuhusu maisha baada ya kuhitimu chuo
.
Majobless...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara.
Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina...
Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football.
Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote..
Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA).
Here we go!.
Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo.
Civics
History
English
Kiswahili
Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.